Hujawahi kuusikia huu umoja wa wahandisi? Mimi mwenyewe sijawahi.Utakatishaji wa hela za kutoka kwa waarabu.
Mimi kama mhandisi,mbona hii kitu siijui na wala ERB hawajanipa taarifa!??
Magufuli alikuwa mhandisi?Mbona umekasirika " Wahandisi" fani ya Shujaa Magufuli kumnunulia Chopa Mpendwa Wetu Mh Rais Samia?
Mwenye uchungu na maisha Yako duni ni nani?Unataka kujuwa maendeleo yangu...? Nikuhakikishie tu kwamba sina tatizo kwa upande huo.
Waarabu sasa wanahaha sana kwa kutambua kwamba nchi zao ziko mashakani sana baada ya mafuta. Ndiyo maana wanawatafuta kwa kila njia, watu vilaza kama 'Chura Kiziwi', viongozi wasiokuwa na uchungu wowote juu ya nchi wanazo ziongoza. Huyu hana lolote linalo muumiza akilini kuhusu maisha duni anayo pambana nayo mTanzania, na hasa mTanganyika huko vijijini. Ndiyo maana yuko tayari kunadisha kila raslimali ambayo ingeweza kuwasaidia watu hawa.
2025 kazini kuna kazi pigeni vya mwisho mwisho wajemeniSafi sana ,Wana Kila sababu za kufanya hivyo
-Kaongeza Bajeti ya TARURA kutoka Bilioni 270 Hadi Bilioni 850(Zote wanafanya wao)
-Kaongeza Bajeti ya Matengenezo TanRoads kutoka Bilioni 650 Hadi Bilioni 870(zote wanafanya wao)
-Kapumguza kazi za Force Account
-Kaongeza Bajeti ya Maji Kutoka Bilioni 400 Hadi Bilioni 890
-Kaongeza WiGo wa thamani ya miradi inavyotakiwa kufanya na wakandarasi wa ndani tuu kutoka Bilioni 10 Hadi Bilioni 50
-Kaanzisha Samia infrastructure Bond Ili wapate mtaji wa kazi.
-Kaanzisha utaratibu wa kutengwa 30% ya kazi za Ujenzi Kwa wakandarasi wanawake,vijana na makundi Maalum .
Kwa hayo na.mengineyo Kwa nini wasimnunulie Helikopta?
Mwisho kama unadhani ni vimbwanga basi endelea na mawazo hayo hayo ,hawajafanya Kwa bahati mbaya.
Sawa Wacha tupige2025 kazini kuna kazi pigeni vya mwisho mwisho wajemeni
waziri wa ujenz ni fani?Waziri wa Ujenzi
Very simple
Kwani fani ni nini? 😂😂😂waziri wa ujenz ni fani?
Huu ndio upumbavu ninao usema hapa kila mara. Unasubiri "uletewe pesa"?Maneno Yako meengi hayasiadiii wanavujiji kuondokana na umaskini ila hao hao unowaita Waarabu wake ndio wanakuletea pesa.
Pesa zenu mlizitoa wapi zaidi ya kujengwa na kukopeshwa? Kwa nini hamkufanya wenyewe?Huu ndio upumbavu ninao usema hapa kila mara. Unasubiri "uletewe pesa"?
Hao waliojenga hilo Bwawa, huoni kuwa ni pesa zetu hizo; au huna uwezo wa kutofautisha na haya matakataka anayoleta 'Chura'? Kama Bandari na mengineyo!
unajibu swali kwa swali?Kwani fani ni nini?
Watu na Samia wao , wengine wanamwaga povu 😂😂Heka heka na vimbwanga vinazidi kupamba moto, mpaka uchaguzi ufike tutaona mengi! Eti wanarudisha fadhila kwa yale Rais Samia amefanyia nchi! Kwa hali ngumu ya maisha na wizi unaoendelea serikalini kweli?
Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ndio tumeamua sasa hivi kila mtu kuwa chawa ili naye aende kula kwa urefu wa kamba yake?
Vijana tuamke kuokoa taifa hili, kwa haya yanayoendelea na nchi itafutika kwa kila mtu kuchota kwa nafasi yake bila kujali maslahi ya nchi.
===
Umoja wa Wakandarasi na Wahandisi Tanzania umemnunulia Helkopta Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ili aitumie Helkopta hiyo wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwakani (2025) atakapokuwa anapeperusha bendera ya CCM kama mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Akizungumza na wanahabari leo, Jumamosi Julai 20.2024 Msemaji wa umoja huo Mhandisi Yuda Thomas Kemincha amesema sambamba na kununua Helkopta hiyo lakini pia wametoa mafuta ya shilingi milioni 100 za Tanzania, huku akitumia nafasi hiyo kufafanua kuwa hatua hiyo inakuja kama sehemu ya kurudisha fadhila kwa Rais Dkt. Samia kuhusiana na yale aliyoyafanya nchini.
Mtasema mpaka mjambe!!! SAMIA SULUHU HASSAN NI MALIKIA WA NCHIPesa za kuuza maliasili zetu kwa wageni ndizo zinatumika kwa mlango wa nyuma.
Ajabu, wale makandarasi wanaolalamika kila siku hawalipwi pesa zao kwa wakati, leo wanatoa wapi pesa za kununua helkopta? na milioni 100 za mafuta?
- Wajinga wa awamu hii hawana hata akili na uwezo wa kutudanganya.
Hii awamu ya Samia niseme ndio ya hovyo kabisa kuwahi kutokea kwenye historia ya hili taifa, pesa za umma zinaibwa hovyo bila hatua kuchukuliwa, na kutumika hovyo kwenye mambo ya kijinga yasiyo na maana.
Mfano; mabango ya Samia nchi nzima nini maana yake? Samia anajigeuza Pepsi au Fanta anaanza kujitangaza kila mahali! simply wajanja wanapiga dili zao hapo nae amelala tu anajiita chura kiziwi.
Nchi inaongozwa na akili ndogo sana.
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavuSi uende Kenya we mpumbavu, bila Shaka we ni mfuasi wa chadema
Unajua maana ya "umaskini" wewe?Mwenye uchungu na maisha Yako duni ni nani?
Kabla ya malalamiko Yako ya kichovu na Hadithi zako zisizo na maana kuhusu Rasilimali unazodia,zimekusaiaje na zimekuondolea umaskini kiasi gani?
Na Je saizi umeongezeka umaskini au umepunguziwa?
mbona anayo tayari, zile za jeshi zote anaweza kuzitumia apendavyo, yeye si amiri jeshi mkuu?Heka heka na vimbwanga vinazidi kupamba moto, mpaka uchaguzi ufike tutaona mengi! Eti wanarudisha fadhila kwa yale Rais Samia amefanyia nchi! Kwa hali ngumu ya maisha na wizi unaoendelea serikalini kweli?
Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ndio tumeamua sasa hivi kila mtu kuwa chawa ili naye aende kula kwa urefu wa kamba yake?
Vijana tuamke kuokoa taifa hili, kwa haya yanayoendelea na nchi itafutika kwa kila mtu kuchota kwa nafasi yake bila kujali maslahi ya nchi.
===
Umoja wa Wakandarasi na Wahandisi Tanzania umemnunulia Helkopta Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ili aitumie Helkopta hiyo wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwakani (2025) atakapokuwa anapeperusha bendera ya CCM kama mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Akizungumza na wanahabari leo, Jumamosi Julai 20.2024 Msemaji wa umoja huo Mhandisi Yuda Thomas Kemincha amesema sambamba na kununua Helkopta hiyo lakini pia wametoa mafuta ya shilingi milioni 100 za Tanzania, huku akitumia nafasi hiyo kufafanua kuwa hatua hiyo inakuja kama sehemu ya kurudisha fadhila kwa Rais Dkt. Samia kuhusiana na yale aliyoyafanya nchini.
Utumwa upi unaopelekwa wewe? Bila Mwarabau kumpa Mafuta Nyerere Tanzania si inge collapse na kutishia kuwa ya kitumwa tena?Unajua maana ya "umaskini" wewe?
Kuna umaskini zaidi ya kupelekwa utumwani tena? Ila safari hii mtatambua kuwa sisi siyo maskini tena wa namna hiyo.
"Mwenye uchungu na maisha yako duni ni nani?" Hili nalo ni swali unalotaka lijibiwe, kwamba hujui? Ndiyo maana watu wa aina yenu hamtakiwi kuwa karibu na uongozi wa nchi hii.