Pre GE2025 Wahandisi na Wakandarasi wamnunulia Rais Samia helkopta kwaajili ya Kampeni za Urais 2025 pamoja na mafuta ya Tsh. 100,000,000/-

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Heka heka na vimbwanga vinazidi kupamba moto, mpaka uchaguzi ufike tutaona mengi! Eti wanarudisha fadhila kwa yale Rais Samia amefanyia nchi! Kwa hali ngumu ya maisha na wizi unaoendelea serikalini kweli?

Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ndio tumeamua sasa hivi kila mtu kuwa chawa ili naye aende kula kwa urefu wa kamba yake?

Vijana tuamke kuokoa taifa hili, kwa haya yanayoendelea na nchi itafutika kwa kila mtu kuchota kwa nafasi yake bila kujali maslahi ya nchi.

===

Umoja wa Wakandarasi na Wahandisi Tanzania umemnunulia Helkopta Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ili aitumie Helkopta hiyo wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwakani (2025) atakapokuwa anapeperusha bendera ya CCM kama mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Akizungumza na wanahabari leo, Jumamosi Julai 20.2024 Msemaji wa umoja huo Mhandisi Yuda Thomas Kemincha amesema sambamba na kununua Helkopta hiyo lakini pia wametoa mafuta ya shilingi milioni 100 za Tanzania, huku akitumia nafasi hiyo kufafanua kuwa hatua hiyo inakuja kama sehemu ya kurudisha fadhila kwa Rais Dkt. Samia kuhusiana na yale aliyoyafanya nchini.

Rushwa iliyo barikiwa
 
Hiyo ni rushwa na inaonyesha ndio maana miradi mingi ya ujenzi ikochini ya kiwangi. Taarifa nilizonazo nikwamba wamelazimswa wachange Yaani Hawa watu wameshindwa kusaidia wagonjwa amabo wanahitaji matibabu ila hawana fedha lakini wao wanamchangia Rais amambaye chama chake kinakilakitu. Nchi hii Samia kaipeleka pabaya na ufusadi utakuwa mkubwa sana
 
Najiuliza kwanini Samia anaanza kampeni mapema namna hii? ana lengo gani na hii nchi?

Hivi wakati huu ambapo mambo yanajiendea hovyo kila kona, juzi tu amesema anataka kuanza kuchimba madini yaliyogundulika kwenye mbuga ya Serengeti eti kwasababu wanyama hawali madini!

Hii ndio akili inayolazimisha kuendelea kuliongoza hili taifa kwa miaka mitano zaidi? Naamini kuna wajanja wanaofaidi kwa kutumia udhaifu wa hiyo akili na hao ndio wapiga filimbi wakubwa.

Wanajua kabisa huyu kilaza akiondoka madarakani nao channel zao zitafungwa, wanachokifanya sasa ni kuyashawishi makundi mbalimbali kupiga kelele ili kumuaminisha kilaza anakubalika, kumbe mipango yao iko mbali kabisa kututafuna.
 
Umoja wa Wakandarasi na Wahandisi Tanzania umemnunulia Helkopta Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ili aitumie Helkopta hiyo wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwakani (2025) atakapokuwa anapeperusha bendera ya CCM kama mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kama taarifa hii ina ukweli wowote ndani yake; watu/makundi kama haya ndio maadui wakubwa wa nchi hii na itabidi kuanza kuyatambua hivyo.
Hawa tayari wanavuruga haki ya wananchi kuchagua viongozi wawatakao wenyewe.
 
Heka heka na vimbwanga vinazidi kupamba moto, mpaka uchaguzi ufike tutaona mengi! Eti wanarudisha fadhila kwa yale Rais Samia amefanyia nchi! Kwa hali ngumu ya maisha na wizi unaoendelea serikalini kweli?

Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ndio tumeamua sasa hivi kila mtu kuwa chawa ili naye aende kula kwa urefu wa kamba yake?

Vijana tuamke kuokoa taifa hili, kwa haya yanayoendelea na nchi itafutika kwa kila mtu kuchota kwa nafasi yake bila kujali maslahi ya nchi.

===

Umoja wa Wakandarasi na Wahandisi Tanzania umemnunulia Helkopta Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ili aitumie Helkopta hiyo wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwakani (2025) atakapokuwa anapeperusha bendera ya CCM kama mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Akizungumza na wanahabari leo, Jumamosi Julai 20.2024 Msemaji wa umoja huo Mhandisi Yuda Thomas Kemincha amesema sambamba na kununua Helkopta hiyo lakini pia wametoa mafuta ya shilingi milioni 100 za Tanzania, huku akitumia nafasi hiyo kufafanua kuwa hatua hiyo inakuja kama sehemu ya kurudisha fadhila kwa Rais Dkt. Samia kuhusiana na yale aliyoyafanya nchini.

Isijekuwa kama kwa Filikunjombe
 
[QUOTE="denoo JG, post: 50833098, member: 731790
Najiuliza kwanini Samia anaanza kampeni mapema namna hii? ana lengo gani na hii nchi?
[/QUOTE]
Huyu hana lengo lolote. Wenye lengo ni hao wanao mtumia. Wanao nufaika kwa yeye kuwepo kwenye nafasi hiyo.
 
Yes nafahamu hivyo pia, nimeshaongezea nyama.
 
Heka heka na vimbwanga vinazidi kupamba moto, mpaka uchaguzi ufike tutaona mengi! Eti wanarudisha fadhila kwa yale Rais Samia amefanyia nchi! Kwa hali ngumu ya maisha na wizi unaoendelea serikalini kweli?

Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ndio tumeamua sasa hivi kila mtu kuwa chawa ili naye aende kula kwa urefu wa kamba yake?

Vijana tuamke kuokoa taifa hili, kwa haya yanayoendelea na nchi itafutika kwa kila mtu kuchota kwa nafasi yake bila kujali maslahi ya nchi.

===

Umoja wa Wakandarasi na Wahandisi Tanzania umemnunulia Helkopta Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ili aitumie Helkopta hiyo wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwakani (2025) atakapokuwa anapeperusha bendera ya CCM kama mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Akizungumza na wanahabari leo, Jumamosi Julai 20.2024 Msemaji wa umoja huo Mhandisi Yuda Thomas Kemincha amesema sambamba na kununua Helkopta hiyo lakini pia wametoa mafuta ya shilingi milioni 100 za Tanzania, huku akitumia nafasi hiyo kufafanua kuwa hatua hiyo inakuja kama sehemu ya kurudisha fadhila kwa Rais Dkt. Samia kuhusiana na yale aliyoyafanya nchini.

Safi sana ,Wana Kila sababu za kufanya hivyo
-Kaongeza Bajeti ya TARURA kutoka Bilioni 270 Hadi Bilioni 850(Zote wanafanya wao)
-Kaongeza Bajeti ya Matengenezo TanRoads kutoka Bilioni 650 Hadi Bilioni 870(zote wanafanya wao)
-Kapumguza kazi za Force Account
-Kaongeza Bajeti ya Maji Kutoka Bilioni 400 Hadi Bilioni 890
-Kaongeza WiGo wa thamani ya miradi inavyotakiwa kufanya na wakandarasi wa ndani tuu kutoka Bilioni 10 Hadi Bilioni 50
-Kaanzisha Samia infrastructure Bond Ili wapate mtaji wa kazi.
-Kaanzisha utaratibu wa kutengwa 30% ya kazi za Ujenzi Kwa wakandarasi wanawake,vijana na makundi Maalum .

Kwa hayo na.mengineyo Kwa nini wasimnunulie Helikopta?

Mwisho kama unadhani ni vimbwanga basi endelea na mawazo hayo hayo ,hawajafanya Kwa bahati mbaya.
 
"Majambazi" nao ni wananchi na hata vichaa ni wananchi. Tumia akili unapotaka kujibu niliyo andika. Usiniwekee uchafu na mipasho ambavyo mara nyingi huwa unavitumia humu JF.
Mbona umekasirika " Wahandisi" fani ya Shujaa Magufuli kumnunulia Chopa Mpendwa Wetu Mh Rais Samia?
 
Back
Top Bottom