Pre GE2025 Wahandisi na Wakandarasi wamnunulia Rais Samia helkopta kwaajili ya Kampeni za Urais 2025 pamoja na mafuta ya Tsh. 100,000,000/-

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hii ni nchi ya wapumbavu, as imejaa upumbavu wa kiwango kikubwa sana.. hao ni wahandisi, ngoja maticha waje, then madokta watamalizia huku wanasheria wakijiandaa kupindisha matokeo hulo tume huru!!
Pole ndugu yangu unaongea kwa uchunguz mno lkn binaadamu hatuwez kufanana akili na maamuzi
 
Heka heka na vimbwanga vinazidi kupamba moto, mpaka uchaguzi ufike tutaona mengi! Eti wanarudisha fadhila kwa yale Rais Samia amefanyia nchi! Kwa hali ngumu ya maisha na wizi unaoendelea serikalini kweli?

Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ndio tumeamua sasa hivi kila mtu kuwa chawa ili naye aende kula kwa urefu wa kamba yake?

Vijana tuamke kuokoa taifa hili, kwa haya yanayoendelea na nchi itafutika kwa kila mtu kuchota kwa nafasi yake bila kujali maslahi ya nchi.

===

Umoja wa Wakandarasi na Wahandisi Tanzania umemnunulia Helkopta Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ili aitumie Helkopta hiyo wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwakani (2025) atakapokuwa anapeperusha bendera ya CCM kama mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Akizungumza na wanahabari leo, Jumamosi Julai 20.2024 Msemaji wa umoja huo Mhandisi Yuda Thomas Kemincha amesema sambamba na kununua Helkopta hiyo lakini pia wametoa mafuta ya shilingi milioni 100 za Tanzania, huku akitumia nafasi hiyo kufafanua kuwa hatua hiyo inakuja kama sehemu ya kurudisha fadhila kwa Rais Dkt. Samia kuhusiana na yale aliyoyafanya nchini.

Hii Kali....
 
Msemaji wa umoja huo Mhandisi Yuda Thomas Kemincha amesema sambamba na kununua Helkopta hiyo lakini pia wametoa mafuta ya shilingi milioni 100 za Tanzania, huku akitumia nafasi hiyo kufafanua kuwa hatua hiyo inakuja kama sehemu ya kurudisha fadhila kwa Rais Dkt. Samia kuhusiana na yale aliyoyafanya nchini.
Kazi kweli kweli....
 
Usidanganyike. Hao hawana uwezo wa kufanya hivyo.
Wanatumiwa tu kama njia ya kupitishia pesa toka kwa wafadhili; kama waarabu kuziingiza hapa kutununulia serikali mwakani.
Una hoja mkuu.....Kuna namna hapa..
 
Shule hazina matundu ya vyoo, nyie wakanda mkajende vyoo watoto wakanyee sehemu safi,; hivo ndiyo kumuunga mkono Rais. Hata bila nyie Mama SSH atashinda kuwa RAIS.
 
Heka heka na vimbwanga vinazidi kupamba moto, mpaka uchaguzi ufike tutaona mengi! Eti wanarudisha fadhila kwa yale Rais Samia amefanyia nchi! Kwa hali ngumu ya maisha na wizi unaoendelea serikalini kweli?

Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ndio tumeamua sasa hivi kila mtu kuwa chawa ili naye aende kula kwa urefu wa kamba yake?

Vijana tuamke kuokoa taifa hili, kwa haya yanayoendelea na nchi itafutika kwa kila mtu kuchota kwa nafasi yake bila kujali maslahi ya nchi.

===

Umoja wa Wakandarasi na Wahandisi Tanzania umemnunulia Helkopta Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ili aitumie Helkopta hiyo wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwakani (2025) atakapokuwa anapeperusha bendera ya CCM kama mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Akizungumza na wanahabari leo, Jumamosi Julai 20.2024 Msemaji wa umoja huo Mhandisi Yuda Thomas Kemincha amesema sambamba na kununua Helkopta hiyo lakini pia wametoa mafuta ya shilingi milioni 100 za Tanzania, huku akitumia nafasi hiyo kufafanua kuwa hatua hiyo inakuja kama sehemu ya kurudisha fadhila kwa Rais Dkt. Samia kuhusiana na yale aliyoyafanya nchini.

Wanatoa rushwa. Kwanza wana uhakika gani samia ndio atakua mgombea wa ccm. Ni uchawa tu unafanywa.
 
Hela za waarabu wameamua kuzitakatisha kwa staili hii
 
Hawa Waandisi si ndio wanagawiwa pesa zetu kisiasa kwa mgongo wa Miundo mbinu, Unakuta kibanda cha mlinzi milioni 30, Choo milioni 60, Barabara ya rami Bilioni kadhaa afu mwezi tu imetoboka yote.

Sishangai wanarudisha sadaka ya Shukran kwa Mama Abdul kwa kuwafungulia malango ya upigaji.
 
Heka heka na vimbwanga vinazidi kupamba moto, mpaka uchaguzi ufike tutaona mengi! Eti wanarudisha fadhila kwa yale Rais Samia amefanyia nchi! Kwa hali ngumu ya maisha na wizi unaoendelea serikalini kweli?

Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ndio tumeamua sasa hivi kila mtu kuwa chawa ili naye aende kula kwa urefu wa kamba yake?

Vijana tuamke kuokoa taifa hili, kwa haya yanayoendelea na nchi itafutika kwa kila mtu kuchota kwa nafasi yake bila kujali maslahi ya nchi.

===

Umoja wa Wakandarasi na Wahandisi Tanzania umemnunulia Helkopta Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ili aitumie Helkopta hiyo wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwakani (2025) atakapokuwa anapeperusha bendera ya CCM kama mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Akizungumza na wanahabari leo, Jumamosi Julai 20.2024 Msemaji wa umoja huo Mhandisi Yuda Thomas Kemincha amesema sambamba na kununua Helkopta hiyo lakini pia wametoa mafuta ya shilingi milioni 100 za Tanzania, huku akitumia nafasi hiyo kufafanua kuwa hatua hiyo inakuja kama sehemu ya kurudisha fadhila kwa Rais Dkt. Samia kuhusiana na yale aliyoyafanya nchini.

Huu Ni ujambqzi wa ccm
 
Wahuni hawa hawana identity

Associations zina majina

Wakandarasi association yao inaitwa -CATA

Architects association yao inaitwa -
-AAT

Quantity surveyors association inaitwa TIQS

Engineers association yao inaitwa ASET

Hawa wahuni wanatoka association Gani?
 
Heka heka na vimbwanga vinazidi kupamba moto, mpaka uchaguzi ufike tutaona mengi! Eti wanarudisha fadhila kwa yale Rais Samia amefanyia nchi! Kwa hali ngumu ya maisha na wizi unaoendelea serikalini kweli?

Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ndio tumeamua sasa hivi kila mtu kuwa chawa ili naye aende kula kwa urefu wa kamba yake?

Vijana tuamke kuokoa taifa hili, kwa haya yanayoendelea na nchi itafutika kwa kila mtu kuchota kwa nafasi yake bila kujali maslahi ya nchi.

===

Umoja wa Wakandarasi na Wahandisi Tanzania umemnunulia Helkopta Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ili aitumie Helkopta hiyo wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwakani (2025) atakapokuwa anapeperusha bendera ya CCM kama mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Akizungumza na wanahabari leo, Jumamosi Julai 20.2024 Msemaji wa umoja huo Mhandisi Yuda Thomas Kemincha amesema sambamba na kununua Helkopta hiyo lakini pia wametoa mafuta ya shilingi milioni 100 za Tanzania, huku akitumia nafasi hiyo kufafanua kuwa hatua hiyo inakuja kama sehemu ya kurudisha fadhila kwa Rais Dkt. Samia kuhusiana na yale aliyoyafanya nchini.

Magu aliporomoka kwenye helicopter siku moja hakupanda tena mpaka umauti wake
Ubaya Ubwela
 
Kumbe wewe ndio mtekaji? 😂😂
Unajichekesha na nini hapa, wakati mambo mnayowafanyia waTanzania ni ya kishenzi. Wakitokea watu wa kuwateka vikaragosi kama nyinyi nisinge jihangaisha kabisa, kwa sababu nyinyi sasa ndio maadui wakubwa wa nchi hii.
 
Pesa za kuuza maliasili zetu kwa wageni ndizo zinatumika kwa mlango wa nyuma.

Ajabu, wale makandarasi wanaolalamika kila siku hawalipwi pesa zao kwa wakati, leo wanatoa wapi pesa za kununua helkopta? na milioni 100 za mafuta?

- Wajinga wa awamu hii hawana hata akili na uwezo wa kutudanganya.

Hii awamu ya Samia niseme ndio ya hovyo kabisa kuwahi kutokea kwenye historia ya hili taifa, pesa za umma zinaibwa hovyo bila hatua kuchukuliwa, na kutumika hovyo kwenye mambo ya kijinga yasiyo na maana.

Mfano; mabango ya Samia nchi nzima nini maana yake? Samia anajigeuza Pepsi au Fanta anaanza kujitangaza kila mahali! simply wajanja wanapiga dili zao hapo nae amelala tu anajiita chura kiziwi.

Nchi inaongozwa na akili ndogo sana.
Ila wangesema watainunulia ufipa, hapa ungesema kale kamsemo kenu, eti wamejitambua. Kaeni kimya wakandarasi nao wanauhuru wa kuwa kuchangia watakapoo. Hiii ndio demokrasia ya uhuru wa utashi.
 
Kipi kinachokuhusu?
Hukijui kinacho nihusu?
Wewe unadhani nami nipo hapa kuwapigania wajomba warudi kuwaweka waTanzania utumwani tena?
Akili yako haifanyi kazi sawasawa, ndiyo maana unakuja hapa na kujaza takataka humu jukwaani, ukifikiri watu hawaoni upumbavu uliomo ndani ya maandishi yako.
 
Hii ni nchi ya wapumbavu, as imejaa upumbavu wa kiwango kikubwa sana.. hao ni wahandisi, ngoja maticha waje, then madokta watamalizia huku wanasheria wakijiandaa kupindisha matokeo hulo tume huru!!
Kazi kweikweli
 
Back
Top Bottom