Ilikua kama ishu ya smelta kuwa haiwezekani tatizo la umeme na waimba pambio wakashikia bangoYaani utege bwawa halafu upunguze uwepo wa maji?!Zilikuwa swaga za ki-IPTL ili tuendelee kukamuliwa kwenye umeme wa mafuta mazito toka DOWANS and the likes!Wakati ule hata ripoti za wataalamu zilikuwa zinachakachuliwa kirahisi mno! Kwa sasa asilimia kubwa maji yanaishia baharini badala ya kunufaisha wakulima
kwa hapa mimi si mgeni bali sijafika kabisa! lakini issue matope inakuwaje huu tuliko kwenye mabwawa ya umwagiliaji yanahizo changomoto ni vizuri mradi ukaangalia nikwa jinsi gani tope pia zinaweza kutolewa (kama hili linahusika) hapa mimi mgeni sijui kitu hapaMkuu umesahau suala nyeti la bianuwai ya Wanyama na mimea (gene pool) ktk pori la Selous. Nina uhakika wataalamu wetu wa ndani watakuja na mipango mizuri ya jinsi ya kuepusha athari juu wanyama na mimea na hatimae mradi utajengwa. Then we can become the African power giant. Wanaharakati wa mazingira watatushambulia lkn faida ni maradufu kulikoni hasara
Weka na adhabu ambayo mtastahili iwapo ujenzi utakuwa chini ya kiwango ili tusije kulaumiana baadaye,maana hofu kubwa ni wapiga dili,hawa ndio wametufikisha hapa na kutufanya tusiaminiane.
kwa hapa mimi si mgeni bali sijafika kabisa! lakini issue matope inakuwaje huu tuliko kwenye mabwawa ya umwagiliaji yanahizo changomoto ni vizuri mradi ukaangalia nikwa jinsi gani tope pia zinaweza kutolewa (kama hili linahusika) hapa mimi mgeni sijui kitu hapa
Uhandisi wenyewe ndio ule wa hostel za UDSM? Muacheni mh Rais atutafutie wahandisi wenye uzoefu wao, msitulee balaa bure!Sio wahandisi wote ni copy and paste, kuna wahandisi wengi tu wazuri sana
Approach to funding. Tujadili hili. PPP or twende far east?!
PPP imesababisha mpaka leo mradi hau take - over ujue!Hapa ni lazimaserikali ijikunje yenyewe!It may cost less than 2 tril but it will last for years na break even itakuwa ndani ya miaka miwili tuApproach to funding. Tujadili hili. PPP or twende far east?!
Nani kakuambia mitambo inatengenezwa hapa??Mitambo inanunuliwa, sio kila taifa lina uwezo wa kutengeneza sindano (hata kama linaweza) maana unaangalia unafuu kati ya kutengeneza na kununua ni jambo gani lina faida! Kujenga bwawa kunawezekana kufanywa na wahandisi wa kitanzania. Kumbuka bwawa sio turbine!Hamuwezi.
Hiyo mitambo utaona design wewe utatengenezewa wapi?
Fanya mchezo na kuunda turbines?
Ngoja waje wenye teknolojia wewe ukafanye kazi kwao.
Sindano ya kushonea nguo huna utaalamu utaweza kuunda mtambo wa umeme wa megawatts zaidi ya 2,000?
Tuundie sample (prototype) ya megawatt moja tu tuione. Wacha porojo.
Nani kakuambia mitambo inatengenezwa hapa??Mitambo inanunuliwa, sio kila taifa lina uwezo wa kutengeneza sindano (hata kama linaweza) maana unaangalia unafuu kati ya kutengeneza na kununua ni jambo gani lina faida! Kujenga bwawa kunawezekana kufanywa na wahandisi wa kitanzania. Kumbuka bwawa sio turbine!
PPP imesababisha mpaka leo mradi hau take - over ujue!Hapa ni lazimaserikali ijikunje yenyewe!It may cost less than 2 tril but it will last for years na break even itakuwa ndani ya miaka miwili tu
Wenzetu wamejifunza haya kwa miaka zaidi ya 1000 tena kwa kufanya makosa makubwa makubwa!Sisi mpk sasa nadhani tumekimbia sana ndio maana nina imani tunaweza kufanya!Ni kweli kwa mitambo ni lazima kampuni husika ije maana hata ulaya ukinunua mtambo hata kama kampuni yako ina ma-engineer hodari bado watengenezaji ni lazima waje kusimamia kazi ya ufungaji!Hii ni kwa sababu ya liability (sina hakika kama ndio uwajibikaji).Mtafanya chini ya uangalizi wa watengeneza mitambo.
Kazi utapata usijali, lakini wenyewe bado kwa project kubwa kama hiyo.
Tazama barabara tu tunazotengeneza wenyewe na zile za makampuni ya nje. Ni tofauti.
Tanzania bado kwa hilo, tuna miaka kama mia mbili ya kujifunza walipo wenzetu sasa hivi.
Kabisa. Hatuwezi fanya majaribio mradi mkubwa hivyo. Hawa wabongo wapewe vihydroplants vya 1-20MW wajifunze kwanza. Sehemu ni nyingi za kufanya hivyo.Hamuwezi.
Hiyo mitambo utaona design wewe utatengenezewa wapi?
Fanya mchezo na kuunda turbines?
Ngoja waje wenye teknolojia wewe ukafanye kazi kwao.
Sindano ya kushonea nguo huna utaalamu utaweza kuunda mtambo wa umeme wa megawatts zaidi ya 2,000?
Tuundie sample (prototype) ya megawatt moja tu tuione. Wacha porojo.
Sio lazima wawe wanataaluma hata wanafunzi wao wanaweza kufanya vzr kabisa
Tatizo Injinia wakibongo wengi ni Copy and Paste likija suala la Designing...
Ila Magufuli anaeeza wafikiria katika ufalme wa Bwala la St. GEORGE
Acha tusubiri tuone matokeoNimesikia leo Rais amekutana na wahandisi kujadili hili Bwawa.