whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,904
- 9,342
For betterment mana nchi ilikua ina ibiwa sana kupitia vyeti feki na watumishi hewaKuna mwamba alipiga stop[emoji1630] ajira 2015.
Nikuletee shamba masakiNiletee Mbegu na Shamba unioneshe. Mimi ninaishi Masaki hapa ni Lami tuu. Nitalima juu ya Lami?
Kuna madereva wa UN agencies wanalipwa 1.5m wakati Mwalimu kukunja iyo salary lazima uwe na 15yrs kaznWe jamaa mbona mshamba sana..no wonder huna ajira hiyo ya ualimu mpaka sasa.
Unaona kelimika ni kupublish..hujui hata phd watu wananunua.
Tafuta hela acha kulialia kama demu.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
We nae akili nzito kufikiri ushasema UN unachoshangaa nin hapoKuna madereva wa UN agencies wanalipwa 1.5m wakati Mwalimu kukunja iyo salary lazima uwe na 15yrs kazn
NgombeWe nae akili nzito kufikiri ushasema UN unachoshangaa nin hapo
Hapo Ni kwenye kuchagua shule we wa 2015 unachagua municip za Tabora, moshi , Arusha afu wa 2018 anachagua halimashauri za Kakonko na Sengerema lazima achukuliwe wewe ubak solemba[emoji3]Kuna watu wanaongea kama chiliku vile,kwani nani anaogopa interview?utaratibu wa kuwapata walimu na madaktari haupo clear kwa miaka ya karibuni tofauti na kipindi cha kikwete.kwa sasa utakuta mtu amehitimu 2015 na ni sayansi ameachwa wakati huo wa 2018 amechukuliwa ili hali wana masomo sawa.
Je hapa wanatumia kigezo gani maana hujawaita kwenye interview.kuna mwehu mmoja aliwahidi vijana ngoja kwanza niondoe wafanyakazi hewa alafu mtapata ajira zenu hadi waleo.mara oh kuna ziada ya walimu wa arts,cha kushangaza unakuta kisw history wameajiriwa sekondari!rushwa tupu.yani walimu wa arts wanahamishiwa primary alafu wengine wanaajiriwa primary.
Hahahaha only in tz.
Kwanza muwe na adabu kwa walimu,utakuta hapa tunabishana ni vitoto vya 2000 vinatuumiza vichwa.tumeishi na tutaishi bila hizo ajira.kinachitakiwa ni haki ionekane inatendeka
Kama unazo sifa za ualimu kwanini usitume ktk maisha Kuna vitu vitatuNaomba mnijibu hili swali. Hivi tuliomaliza mwaka jana (2021), tunaweza ruhusiwa kuomba? Wazoefu naombeni jibu
Usikariri wanafunzi wengi wanatoka shule za kata kwenda vyuo!!! Tatizo watanzania tunakaririshana kwamba shule za kata sio nzuri, angalia hapo wilayani kwenu ujumlishe wanaoenda advance wengi wa wap??Walimu wengi viwango vyao vya ku reason viko chini mno..yani ukiwa na hela usije jaribu kusomesha mwanao shule za kata..utatengeneza felia..mana walimu wao ni felia.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
2021 kupata Ni ndotoKama unazo sifa za ualimu kwanini usitume ktk maisha Kuna vitu vitatu
1.bahati
2.kipaji
3.juhudi kazi
Ukiona mwanafunzi wa kata kafaulu..tambua nguvu kubwa katumia mwanafunzi na mzazi..hasa tushweni kununu vitabu na matilio mbalimbali..lakini sio nguvu ya mwalimu.Usikariri wanafunzi wengi wanatoka shule za kata kwenda vyuo!!! Tatizo watanzania tunakaririshana kwamba shule za kata sio nzuri, angalia hapo wilayani kwenu ujumlishe wanaoenda advance wengi wa wap??
Kuanzia 2019Vili kuhusu kada ya afya, wanaajiri kuanzia mwaka gani hadi mwaka gani?mwenye kujua msaada wakuu.
Kuanzia 2015Kuanzia 2019
Kabisaaaa yaaaan.Kama wewe ni graduate wa 2015 huna masomo ya Science aisee kupata kazi ni vigumu mno, hao wa 2019 wanaochukuliwa ni wenye Physics, haiwezekani wakuchukue wewe wa Kiswahili wamuache wa physics never, hizi ajira kwa upande wa sekondari 97% zitaenda kwa masomo ya Science,
Wee tuna maombi tyuu, matokeo mbele kwa mbele. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wazoefu naomba msaada kuhusu hili swali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mbavu cna woiiiiiiih[emoji16] wewe kweli mwalimu mbona napatwa mashaka? Hebu pita hapo N. I. T uniambie umekuta ma housgirl wangapi? Kama driving anafanya yoyote wewe na housgirl wenu mnasubiri nini sasa kutuma maombi ajira portal? Mpaka unakuja kulia lia huku eti umemaliza zama za kati za mawe [emoji16] uhurumiwe [emoji16]
]
Hao vyeti feki na mishahara hewa bahati nzuri Jeshini hawakuwepo.For betterment mana nchi ilikua ina ibiwa sana kupitia vyeti feki na watumishi hewa
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app