Wahanga wa ajira za walimu ni wahitimu wa mwaka 2015 ambao bado wako mtaani ajabu ni kuwa wanaachwa na kuchukuliwa wa 2019

Wahanga wa ajira za walimu ni wahitimu wa mwaka 2015 ambao bado wako mtaani ajabu ni kuwa wanaachwa na kuchukuliwa wa 2019

We jamaa mbona mshamba sana..no wonder huna ajira hiyo ya ualimu mpaka sasa.

Unaona kelimika ni kupublish..hujui hata phd watu wananunua.

Tafuta hela acha kulialia kama demu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna madereva wa UN agencies wanalipwa 1.5m wakati Mwalimu kukunja iyo salary lazima uwe na 15yrs kazn
 
Vili kuhusu kada ya afya, wanaajiri kuanzia mwaka gani hadi mwaka gani?mwenye kujua msaada wakuu.
 
Kuna watu wanaongea kama chiliku vile,kwani nani anaogopa interview?utaratibu wa kuwapata walimu na madaktari haupo clear kwa miaka ya karibuni tofauti na kipindi cha kikwete.kwa sasa utakuta mtu amehitimu 2015 na ni sayansi ameachwa wakati huo wa 2018 amechukuliwa ili hali wana masomo sawa.
Je hapa wanatumia kigezo gani maana hujawaita kwenye interview.kuna mwehu mmoja aliwahidi vijana ngoja kwanza niondoe wafanyakazi hewa alafu mtapata ajira zenu hadi waleo.mara oh kuna ziada ya walimu wa arts,cha kushangaza unakuta kisw history wameajiriwa sekondari!rushwa tupu.yani walimu wa arts wanahamishiwa primary alafu wengine wanaajiriwa primary.
Hahahaha only in tz.
Kwanza muwe na adabu kwa walimu,utakuta hapa tunabishana ni vitoto vya 2000 vinatuumiza vichwa.tumeishi na tutaishi bila hizo ajira.kinachitakiwa ni haki ionekane inatendeka
 
Hapo Ni kwenye kuchagua shule we wa 2015 unachagua municip za Tabora, moshi , Arusha afu wa 2018 anachagua halimashauri za Kakonko na Sengerema lazima achukuliwe wewe ubak solemba[emoji3]
 
Walimu wengi viwango vyao vya ku reason viko chini mno..yani ukiwa na hela usije jaribu kusomesha mwanao shule za kata..utatengeneza felia..mana walimu wao ni felia.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Usikariri wanafunzi wengi wanatoka shule za kata kwenda vyuo!!! Tatizo watanzania tunakaririshana kwamba shule za kata sio nzuri, angalia hapo wilayani kwenu ujumlishe wanaoenda advance wengi wa wap??
 
Ukiona mwanafunzi wa kata kafaulu..tambua nguvu kubwa katumia mwanafunzi na mzazi..hasa tushweni kununu vitabu na matilio mbalimbali..lakini sio nguvu ya mwalimu.

Je unajua ni wangapi ambao wanafeli 4m4 kwa kupata 4 na 0.

Pia tambua serikali yenye imejaa siasa hadi kwenye elimu..

Ni mwendo wa kutanua magoli ili wafungaji wabovu wafunge hata kwa kubutua pembeni.

Walimu wengi ni zao la failed educational system..unategemea watatoa product gani?

#MaendeleoHayanaChama

#MaendeleoHayanaChama
 
Kama wewe ni graduate wa 2015 huna masomo ya Science aisee kupata kazi ni vigumu mno, hao wa 2019 wanaochukuliwa ni wenye Physics, haiwezekani wakuchukue wewe wa Kiswahili wamuache wa physics never, hizi ajira kwa upande wa sekondari 97% zitaenda kwa masomo ya Science,
Kabisaaaa yaaaan.
 
[emoji16] wewe kweli mwalimu mbona napatwa mashaka? Hebu pita hapo N. I. T uniambie umekuta ma housgirl wangapi? Kama driving anafanya yoyote wewe na housgirl wenu mnasubiri nini sasa kutuma maombi ajira portal? Mpaka unakuja kulia lia huku eti umemaliza zama za kati za mawe [emoji16] uhurumiwe [emoji16]
]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mbavu cna woiiiiiiih
 
Back
Top Bottom