Hakuna kitu kinachoitwa Guinea Conakry. Hiyo inaitwa Guinea. Acha upotoshajiHata wewe ni kilaza vile vile
Kuna guinea 3 Africa na moja IPO Asia
Equitorial guinea
Guinea Conakry
Guinea Bissau
Haya yote ni mataifa matatu tofauti na yapo Africa
Nyingine ni new Papua Guinea hiyo IPO Asia na Kuna black people vile vile
Kama hadi unaenda kuangalia mechi na haujui ni timu au nchi gani zinacheza eti hadi mtangazaji akutakie, tatizo lipo upande wakoHujasoma uandishi wa habari wewe .Mwandishi sio kasuku anapayuka tu Kuna kufanya analysis mfano Guinea ziko nyingi msikilizaji hutakiwi kumchukulia kama mtaalamu mbobezi wa jiografia anatakiwa aeleze Guinea ipi inacheza kusaidia hata mbumbumbu aliyefeli la saba kuelewa huo mpira anaotangaza anatangaza kwenye mass .Na mass communication Ina principle zake kuwa inatakiwa majority mass waelewe sio wasomi tu hicho unatangaza unageuka mtangazaji na mwalimu pia
Chombo Cha habari ni mass communication moja ya sifa za message ya mass communication ni kuwa message must be understood by masses not few ndio maana nikasema waongeze neno kuwa Timu inayocheza ni Guinea Conakry na pale waweza chomekea kuelimisha mass kuwa why wanasema Guinea Conakry kuwa Kuna Guinea nyingi wakazitaja kukoleza vionjo huku wakitoa elimu kufanya jiografia iwe hai Kwa wasikilizaji hata kesho wakikutana vijiwe vya kahawa watamsifu mtangazaji kuwa mchambuzi na mtangazaji mahiri na wai kugeuka wachambuzi mahiri kuhusu mchezo na chombo Cha habari kupata viewers wengi baadaye kuwa kule Kuna watangazaji mahiri
Kutangaza sio kazi ya ukasuku
Forgotten, kabla hujabisha fanya utafiti. Usibishe pa pa paa kama bata. Wakati mwingine inaitwa Guinea Conakry . Conakry ndo mji wake mkuu.Ujuaji tu!
Guinea 🇬🇳 jina lake lipo hivyo-hivyo na Conakry ni mji mkuu. Pia, kuna Guinea-Bissau na Equatorial Guinea kwa Africa na Papua New Guinea kwa Oceania.
Do research pleaseHakuna Guinea Conakry.
Conakry ni.mji mkuu wa.Guinea.
Kwa mtu yoyote aliyesoma historia ya West Africa , lazima atajua kuna nchi inaitwa Guinea Conakry ambayo ndo Guinea. Vile vile kama ulisoma Novel ya The African Child ya Camara Laye utajuakuwa kuna nchi inaitwa Guinea Conakry . Tujibidishe kufanya uatafiti kabla ya kubisha ndo kujifunza kwenyewe. Tusiwe mabataDo research please
Na hapo tatizo siyo wanakofundishwa ni wawo wenyeweVyombo vingi vya habari vina shida Hadi wapiga kamera unakuta mtu anatangaza taarifa ya habari ya mafuriko kamera badala ya kuonyesha mafuriko inamlenga tu mtangazaji wakati mtangazaji alitakiwa asikike tu audio picha za mafuriko ndizo zitawale
Guinea ziko tatu.Wahariri Tv zetu hebu wastueni watangaza mpira kati ya Guinea na Equatorial Guinea kombe la AFCON .Guinea ziko mbili Guinea Bissau na Guinea conakry geography wako zero.
Timu inayocheza Leo na Equatorial Guinea ni Guinea Conakry watangaze hivyo sio tu kusema tu Guinea.
Hebu wahini kusahihisha hilo.
Guinea zote zinafanana umaarufu ila hiyo Conakry ndiko inakotokea timu ya Horoya AC na mwamba aliyepindua nchi Mamadou Doumbouya.Alafu hii Conakry mbona sio maarufu sana. Kwanini lakini
Majina ya miji mikuu ya nchi hizi yanasaidia katika kuzitambua kiurahisi. Guinea Bissau ni nchi ya Guinea ambayo makao yake makuu yapo Bissau. Vivyo hivyo Guinea Conakry. Kumbuka kulikuwepo na Congo mbili na majina ya miji mikuu yalitumika katika kuyatofautisha moja ikiitwa Congo Brazzaville na nyingine Congo Leopoldville ambayo baadae ilikuja kujulikana kama Congo Kinshasa na kwa sasa inaitwa Democratic Republic of Congo aka DRC.Hakuna Guinea Conakry.
Conakry ni.mji mkuu wa.Guinea.
Waliocheza na Equatorial Guinea ni Guinea- Conakry.Sasa Hawa wanatuchanganya nimesikia Guinea Bissau mara Guinea Conakary Sasa Hawa wanaocheza na equatorial guinea ni hao Conakry au bissau ?
Kwa sasa hakuna Congo Kinshasa ila kuna DRC na Congo BrazavilleHiyo Guinea Conakry ni kuuita tu ili kiuitofautisha. Lakini nchi kama nchi inaitwa hivyo hivyo Guinea bila kuongeza neno.
Ni kama Congo Kinshasa na Congo Brazzaville. Hizi zote ni Congo, na hata passport itasoma unatokea Congo ila hizo Kinshasa na Brazzaville ni miji mikuu ya kutofautisha hizo nchi mbili.
Ila Equatorial Guinea ni jina kabisa la nchi, wala sio sababu ya kutofautisha. Hivyo maneno "Conakry" na "Equatorial" hayako katika muktadha mmoja.
Karibuni sana Papua New GuineaHata wewe ni kilaza vile vile
Kuna guinea 3 Africa na moja IPO Asia
Equitorial guinea
Guinea Conakry
Guinea Bissau
Haya yote ni mataifa matatu tofauti na yapo Africa
Nyingine ni new Papua Guinea hiyo IPO Asia na Kuna black people vile vile
Asante. Niliyapenda sana yale mavazi yao ambayo hata Mkuu wao wa nchi aliyavaa huko Umoja wa Mataifa. Vipi na wewe umeshaashona vazi kama hilo ambalo linaonesha utamaduni wa watu wa huko?Karibuni sana Papua New Guinea
Mleta Uzi ni muongo sana sema basi tu, labda kuleta utofauti ndo waseme ivyo , ila Kuna Guinea, Guinea bissau , equatorial guinea na new Papua guineaWahariri Tv zetu hebu wastueni watangaza mpira kati ya Guinea na Equatorial Guinea kombe la AFCON .Guinea ziko mbili Guinea Bissau na Guinea conakry geography wako zero.
Timu inayocheza Leo na Equatorial Guinea ni Guinea Conakry watangaze hivyo sio tu kusema tu Guinea.
Hebu wahini kusahihisha hilo.
Nimesoma Atlas miaka 20 iliyopita ila sijawahi sikia nchi inaitwa Guinea Conakry,Guinea ziko tatu.
Equatorial Guinea iko Central Africa rais ni Theodore Obiang lugha rasmi ni Kireno, Kifaransa na Spanish.
Guinea Conakry iko West Africa rais ni Mamadou Doumbouya hawa ndiyo wameendelea zaidi kwenye football ikiwemo timu ya Horoya na wachezaji wengi kwenye vilabu vikubwa Europe kama Naby Keita, wanazungumza kifaransa.
Guinea Bissau iko West Africa rais ni Emaro Embalo wanazungumza kireno.
Watangazaji wetu wengi shule za kuokoteza okoteza mbaya zaidi hawana utamaduni hata wa kujisomea vitu vidogo vidogo kama hivi.
Wako si maarufu lakini kwa walioenda shule kusoma ni maarufu sana kwa kilimo cha kokoa.Alafu hii Conakry mbona sio maarufu sana. Kwanini lakini