Wahariri Tv zetu hebu wastueni watangaza mpira kati ya Guinea na Equatorial Guinea. Guinea ziko mbili Guinea Bissau na Guinea conakry

Umetoa boko mkuu pole sana. Raia zinakushambulia balaa

Siku nyingine usikurupuke kupost sawa?
 
Back
Top Bottom