Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Hivi ligazeti Tanzanite lipo?Wahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi mitatu na hapokei simu
Wamesema wanadai mishahara ya miezi mitatu watampeleka mahakamani jumatatu
Wanavuna walichokipanda. Wakadai pesa zao chatoWahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi mitatu na hapokei simu
Wamesema wanadai mishahara ya miezi mitatu watampeleka mahakamani jumatatu
Wahariri wamesema tangu mwezi wa tatu hawajapokea malipo yao ambayo ni haki yao ikiwa na wao wanafamilia
Wameyasema hayo wakiwa wanawasemea waandishi wengine wa magezi hayo ambao pia hawajalipwa
Please naomba tuwajue hao wahariri ambao ni ma-expert wa kutukana watu. Wahariri hao ndio waliokuwa wanatoa na kuhariri maudhui ya kudhalilisha watu hasa viongozi ambao walikuwa wanajaribu kukosoa serikali. Naomba muwataje tuwajue.Wahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi mitatu na hapokei simu
Wamesema wanadai mishahara ya miezi mitatu watampeleka mahakamani jumatatu
Wahariri wamesema tangu mwezi wa tatu hawajapokea malipo yao ambayo ni haki yao ikiwa na wao wanafamilia
Wameyasema hayo wakiwa wanawasemea waandishi wengine wa magezi hayo ambao pia hawajalipwa
Pay Master Wake KAENDA ZAKEWahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi mitatu na hapokei simu
Wamesema wanadai mishahara ya miezi mitatu watampeleka mahakamani jumatatu
Wahariri wamesema tangu mwezi wa tatu hawajapokea malipo yao ambayo ni haki yao ikiwa na wao wanafamilia
Wameyasema hayo wakiwa wanawasemea waandishi wengine wa magezi hayo ambao pia hawajalipwa
Aliyekuwa anambeba keshakufa kwa sasa hana mfadhili tenaAtawalipaje sasa kiburi cha hela kilishakatika