sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Ishu ni kwamba muhasibu anahusika vipi kwenye wizi kwa kutoa pesa anayohitaji afisa manunuzi kufanyia manunuzi iwe ya bidhaa, huduma ama kumlipa mkandarasi tenda yakeNdio umetoka lock up leo mkuu?
Askari wa anga karudiAfisa manunuzi kampa mkandarasi tenda ya bilioni 2 kufanya kazi ya milioni 300, mhasibu katoa hizo milioni 300, kosa lake lipi ?
Afisa manunuzi ametumia shilingi milioni 200 kununua computer ambazo sokoni zina thamani ya milioni 50, mhasibu katoa hizo milioni 200, kosa lake lipi ?
Afisa manunuzi ametumia milioni 2 kwajili ya kutafuta mchoraji wa nembo ya shirika, mchoraji kapewa elf 80, mhasibu katoa hizo milioni 2, Kosa lake ni lipi ?
Alietoa anahusika kivipi hapo ?Aliyetoa na aliyepokea , wote manzi ga nyanza.
hayo mambo kwa nchi hasa za Africa yapo kinadharia sana utabaki kujifunza tu darasani, kiuhalisia ni tofautiKwenye internal controls kuna controls zinaitwa detective controls..muhasibu una wajibu wa kuzuia
Pre-audit ipo kinadharia? Wewe ni muhasibu garasa. Muhasibu anawezaje kulipa bila kupitia nyaraka muhimu za manunuzi kwenye subject file? Hiyo control ni detective. Kama wanasema funga mdomo waambie waweke kwa maandishi hiyo funga mdomo. Wakigoma waambie walipe wao kama wanaweza bila muhasibu.hayo mambo kwa nchi hasa za Africa yapo kinadharia sana utabaki kujifunza tu darasani, kiuhalisia ni tofauti
Hayo mambo yangekuwa yanafuata msisitizo wala tungekuwa hatuoni madudu kwenye ripoti ya cag.Pre-audit ipo kinadharia? Wewe ni muhasibu garasa. Muhasibu anawezaje kulipa bila kupitia nyaraka muhimu za manunuzi kwenye subject file? Hiyo control ni detective. Kama wanasema funga mdomo waambie waweke kwa maandishi hiyo funga mdomo. Wakigoma waambie walipe wao kama wanaweza bila muhasibu.
Mkaguzi akija huwezi kumwmabia huo ujinga
Nachosema mimi ni wewe kufanya sehemu yako. Usipotimiza wajibu wako huyo CAG na PCCB wanakuja kukuokota tu hata kama huusikiHayo mambo yangekuwa yanafuata msisitizo wala tungekuwa hatuoni madudu kwenye ripoti ya cag.
Napozungumzia hayo madudu nadhani unanipata vema,
Hiyo Quotation kwani yeye haioni? hawezi kujudge chochote? Kwamba yeye ni kutoa tu? Mhasibu gani ambaye huwezi kuhisi/kubaini udanganyifu wa taarifa za manunuzi, na kwanini usitiliwe mashaka huo uhasibu wako? Kwamba kwa kuwa pesa ni ya umma basi ni kutoa tu bila kufikiria marambilimbili kuhusiana na kiasi cha fesha kinachoombwa, ingekuwa ni fedha za kampuni ungeweza kufanya vivyo hivyo? Au kwa kuwa ni fedha za serikali ambapo mtumishi huyo ana kinga ya kiutumishi ndo maana anatoa tu, hebu Acha kutuletea utetezi wako wa hovyohovyo hapa.Alietoa anahusika kivipi hapo ?
Afisa manunuzi yeye anaomba shilingi milioni 10 kununua peni ambazo ukipiga hesabu kwa peni moja moja unakuta ni elf 5 kwa kila peni, tena ni hizi peni za 500 madukani. Muhasibu ukijaribu kufungua mdomo kwamba hizo peni ni 500 unaambiwa "funga bakuli lako ufanye kazi yako ya uhasibu kusaini imetoka shilingi milioni 10 ya manunuzi, mambo ya manunuzi hayakuhusu" Hapo muhasibu una kosa lipi ?