peni yangu maisha yangu
Member
- Apr 20, 2024
- 56
- 117
Unazungumzia wahaya wa wapi hao?Kuna Jamaa anajiita Coy mzungu founder wa Cheka TU huyu jamaa ni muhaya and is very bright enough.
Mbona mama yake huwa anadai baba yake coy ni kutoka MaraKuna Jamaa anajiita Coy mzungu founder wa Cheka TU huyu jamaa ni muhaya and is very bright enough.
UKITAKA KUJUA KABILA LENYE WATU WENYE AKILI, ANGALIA KABILA LILIVYO LETA MAENDELEO KWAO WALIKOZALIWA.Kuna Jamaa anajiita Coy mzungu founder wa Cheka TU huyu jamaa ni muhaya and is very bright enough.