Wahaya kichwani wamebarikiwa sana hii haina ubishi.

Wahaya kichwani wamebarikiwa sana hii haina ubishi.

Kuna Jamaa anajiita Coy mzungu founder wa Cheka TU huyu jamaa ni muhaya and is very bright enough.
Unazungumzia wahaya wa wapi hao?
Unazungumzia wale waliopo kule Kagera?
Watu wenye akili inakuwaje maendeleo ya kielimu yako duni mnoo kwenye jamii yao iliyopata fursa zote nzuri za kiuchumi, kielimu mapema zaidi?

Hizi unawajua wamasai au Waha?
Kuna wahaya wanaweza kumsogelea mmasai au muha aliyepata fursa bora ya kielimu?
 
Kuna Jamaa anajiita Coy mzungu founder wa Cheka TU huyu jamaa ni muhaya and is very bright enough.
UKITAKA KUJUA KABILA LENYE WATU WENYE AKILI, ANGALIA KABILA LILIVYO LETA MAENDELEO KWAO WALIKOZALIWA.
Unaenda mkoa unakuta wanafunzi wanakalia mawe madarasani unatuambia wana akili?
Tembea tembea mikoani, utajua makabila yenye watu wenye akili
 
Back
Top Bottom