Wahaya wana akili sana kiukweli , nimemfatili Dr Ellie Waminian huyu jamaa ana hatari sana

Manfried

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
1,288
Reaction score
4,074
Leo nilikuwa natazama chomoza TV nimekutana na jamaa mmoja muhaya anaitwa Dr Ellie Waminian huyu jamaa Ana akili Sana .

Nimeambiwa ni muhaya

Hili kabila litakuwa na DNA Kama za wazungu
 
HASTY GENERALIZATION

Unatoa hitimisho kwa kundi kubwa la watu kwa kutumia idadi ndogo ya watu.

Mfano;

•Kuna mkinga aliua hivyo wakinga wote ni wauaji.

•Kuna mdau alilima viazi vikamkata hivyo viazi havina faida.

Doctor Ellie yuko smart lakini hilo halihitimishi kwamba Wahaya wote ni Smart.
 
Bwenga kama Bwenga!!!

Kabsa wahaya kichwani tumezijaza shida yetu sifa sasa😂
 
Leo nilikuwa natazama chomoza TV nimekutana na jamaa mmoja muhaya anaitwa Dr Ellie Waminian huyu jamaa Ana akili Sana .

Nimeambiwa ni muhaya

Hili kabila litakuwa na DNA Kama za wazungu
Hahaaa Kuna maza mmoja akawa anasema kuwa huyo mhaya ana lugha isiyoeleweka
 
Leo nilikuwa natazama chomoza TV nimekutana na jamaa mmoja muhaya anaitwa Dr Ellie Waminian huyu jamaa Ana akili Sana .

Nimeambiwa ni muhaya

Hili kabila litakuwa na DNA Kama za wazungu
Umemsifu ana akili sana je una maana huyo muhaya anamiliki asilimia kama 3 ya akili.yangu ...maana mtu yoyote akiweza kumiliki japo asilimia 3 ya akili yangu huyo siyo binadamu wa kawaida
 
kuna wahaya ,wasukuma,wachaga,wanyakysa hawa vichwa haswa majority ya engineers, doctors, pilots. CEOs wanatoka hizi jamii
 
HASTY GENERALIZATION

Unatoa hitimisho kwa kundi kubwa la watu kwa kutumia idadi ndogo ya watu.

Mfano;

•Kuna mkinga aliua hivyo wakinga wote ni wauaji.

•Kuna mdau alilima viazi vikamkata hivyo viazi havina faida.

Doctor Ellie yuko smart lakini hilo halihitimishi kwamba Wahaya wote ni Smart.
Wengi wao ni smart Mkuu tuweke Sifa pembeni ni kama wachaga na pesa huwezi kutenganisha kwenye ukwl usemekane
 
Back
Top Bottom