God Fearing Person
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 767
- 2,570
πNdugu zetu wahaya wamebarikiwa Kuwa na Akili Sana . wapo na IQ kubwa.
Na wengi wanajua wanataka nini katika MAISHA.
Hongereni Sana
Sijui tungekuwa wapi bila wahaya hongera Sana Max na wengineo
Nb huu ni mtazamo tu tusijenge chuki.
wahaya wanataka msagamuo ktk maishaNdugu zetu wahaya wamebarikiwa Kuwa na Akili Sana . wapo na IQ kubwa.
Na wengi wanajua wanataka nini katika MAISHA.
Hongereni Sana
Sijui tungekuwa wapi bila wahaya hongera Sana Max na wengineo
Nb huu ni mtazamo tu tusijenge chuki.
DNA factor , zina mchango wake.
Kabila halihusiani na IQ. Lakini hali ya hewa ya Kagera, Mbeya na Kilimanjaro ziliwavutia sana wakoloni kuwekeza huko, na hivyo wakajenga shule nyingi, ndiyo maana watu wengi wa kanda hizo wamesoma sana.
Kumbe wewe mhaya , nawakubali sana wanawake wa huko rangi zao na maumbo yao na miguu ya biaππππWahaya tuna IQ kubwa hilo halina ubishi..!π€Έ
Wote waliooa wanawake wa kihaya hawajawahi kujutia
Hata mimi ni smart najiamini saaaanaMuhaya Smart Mama tibaijuka tu,.wengine kama sisi tu
Bila kusahau nywele zetu za singasingaKumbe wewe mhaya , nawakubali sana wanawake wa huko rangi zao na maumbo yao na miguu ya biaππππ
Wahaya ni darasani tu nje ya class works hamna kitu.Ndugu zetu wahaya wamebarikiwa Kuwa na Akili Sana . wapo na IQ kubwa.
Na wengi wanajua wanataka nini katika MAISHA.
Hongereni Sana
Sijui tungekuwa wapi bila wahaya hongera Sana Max na wengineo
Nb huu ni mtazamo tu tusijenge chuki.
DNA factor , zina mchango wake.
Sio maskini tubbali maskini sanaKwanini mkoa wa wahaya moja ya mikoa masikini
nani kasemaWahaya ni darasani tu nje ya class works hamna kitu.