Wahaya wana Akili sana kiukweli

Wahaya wana Akili sana kiukweli

Sema walikuwa na akili ila sio hawa
Haya walivumbua kuyeyusha chuma miaka elfu 2 kabla ya wazungu ila sijui walikwama wapi na zile akili
Wangeendelea vile naona wao ndio wangekuwa wa kwanza duniani kutengeneza gari 😄
 
Ndugu zetu wahaya wamebarikiwa Kuwa na Akili Sana . wapo na IQ kubwa.

Na wengi wanajua wanataka nini katika MAISHA.

Hongereni Sana

Sijui tungekuwa wapi bila wahaya hongera Sana Max na wengineo

Nb huu ni mtazamo tu tusijenge chuki.

DNA factor , zina mchango wake.
Kulinganisha na watunguu, watumbatu, wana-kwerekwe au wa-makunduchi?
 
Waaaaaaaaaay
Overaaaaated.

Nishafika Bukoba. Tembelea mwenyewe utoe maoni yako.

Unanigambire akili?
Najua utaongelea stendi hii ya Bukoba. Maana ndo kichaka mnatumia kutukana watu wa Bukoba..
Sijui mtasema Nini tena. Stendi hii hapo imefanywa ya daladala na imepigwa zege. Ujenzi unaendelea
20240502_214005.jpg
 
Ndugu zetu wahaya wamebarikiwa Kuwa na Akili Sana . wapo na IQ kubwa.

Na wengi wanajua wanataka nini katika MAISHA.

Hongereni Sana

Sijui tungekuwa wapi bila wahaya hongera Sana Max na wengineo

Nb huu ni mtazamo tu tusijenge chuki.

DNA factor , zina mchango wake.

Kwangu kipimo cha akili cha Kabila hukipima kwa kangalia maendeleo ya Eneo husika.
Sasa huko Bukoba watu wanakufa kwa umasikini wakisubiri Serikali Iwajengee Dispensary na Shule za kata ndio unasema wana IQ kubwa?

Kwangu my role model ni Kilimanjaro..... Secondary wamejenga kila pahala; wana zaidi ya dispensary moja kwa kila kijiji; magorofa hadi huko vijijini ndani ndani; sijui wanafunzi kukaa chini, huwa wanasikia tu kwenye radio na TV, Miundo msingi mingi wanakarabati wenyewe nk nk nk na ndio sababu wanapenda kwenda kwao kila mwisho wa mwaka tofauti na makabila mengine ....
 
Back
Top Bottom