Wahaya wana Akili sana kiukweli

Wahaya wana Akili sana kiukweli

Uwe unatumia akili japo kidogo kwenye Kila jambo.
U
Hutatapeliwa tena nakwambia.
Mtu anaekutapeli anacheza na akili Yako na ameshajua huitumii ipasavyo. So anakusaidia kuichangamsha
Kwa unachokisema unaprove kwamba hawana hizo akili bwana nshomile
 
Sasa inakuaje kule kwao kunaongoza kwa umaskini?
Tunaongelea wahaya hapa sio mkoa. Na hakuna mkoa wa wahaya hapa Tz. Sema tukuazime akili japo kidogo

Hebu waza hiv.
Tanzania ni ya 29 kwa umaskini Dunia hii.lakin haimaanisha Tanzania nzima hakuna watu wenye akili.
Umeelewa my point
 
Nimejibu nilivyowazoea watz wenye akili ndogo. Kutumia stendi ya Bukoba kudefine wahaya hawajaendelea.
Huku wakisahau Barabara za lami Hadi vijijini, maji safi, nyumba Bora vijijini, Airport nzr tu, bandari nzr tu, hospital Bora, shule kibao nk
Sasa mbona unanilazimisha. Nakwambia hivi,stendi ya Basi sijafika.

Wewe akili yako ni ya Kihaya basi na wahaya ni weusi tiii- msome Daktari wenu huyu...
watu weusi hayana maana!
Watu weusi that way tunakufa masikini yaani unalalamika vitu vidogo
Anakenua meno tu sa hizi matembele na matoke kwenye meno.
 
Wahaya ni mbwembwe tu ila hamna lolote nenda Kagera uone walivyo na maisha ya hovyo

Kagera ni kajiji fulani hivi kalichopewa hadhi ya mkoa

Walikuwa wanategemea sana kazi za kuajiriwa kwa sababu ya kubebana ila kwenye ujasiriamali ni zero ndio maana wengi wakistaafu hawana cha maana

Dada zao wanatoka Kagera wanajiuza hapo Uwanja wa fisi na Temeke K wanauza buku 3 hii ni dalili ya life gumu Kagera

Hakuna malaya wa buku 3 hapa Dar zaidi ya Wahaya
 
Back
Top Bottom