Wahaya wana Akili sana kiukweli

Natamani sana kupata binti/ Mwanamke wa Kihaya...kwa huku Kaskazini wapo wapi hasa?
 
Wakora kututambua
 
Na sisi wazanaki tumwagie hizo sifa. Tunastahili
Wazanaki (mmekuja na nini) ni wahima/watutsi waliohamia Mara zamani kutafuta malisho.
Ndio maana DNA zao ni Wahima kama walivyo Wahaya, Wakerewe, Wanyambo, Watusti na Wanyankole.
Kuhusu kuwa na akili ni suala la kuingiliwa mapema na Wakoloni wa West na kuanza kutumika kwa sababu ya kutoa ushirikiano mzuri kwa wakoloni kutawala! Elimu ni kitu kikubwa sana.
Hata hivy Mr Nyerere alipambana wahaya na wanyambo na wachaga wasitumie kupata exposure mapema kwao kumeza usawa wa Watanganyika na kuzaa nepotism au kupinduliwa kwake!
Aliwashughulikia kisawasawa kuwacontain hasa kuwadhibiti kielimu, kisiasa na kiuchumi!
Wahaya wakikutana na Nyerere tukifufuka siku ya mwisho wana maswali mengi ya ..kwanini sisi mzee J!
Mf. Kwanini ulipandisha marks za wahaya kuliko Watanganyika wenzao?
Kwanini ulitaifisha mfuko wa KCU kuwa wanapeleka wahaya kusoma ndani na nje kwa pesa zao?

Inasemekana tulipopata uhuru 80% ya Makatibu wakuu walikuwa wahaya!( si suala la akili bali mbegu ya wakoloni).
(Jamani vijana turudishe utamaduni wa kukaa na wazee kabla hawajafa wote tunajikosesha mengi ya nyuma!)
Kwa sasa wahaya wamepigika kila idara. Hata waha(washuti) waliokuwa wanakimbilia bukoba kama kutoboa kwa kazi za nguvu na ngumu wana afadhari!
Anayetaka kuisaidia Bukoba awaze viwanda vya kimkakati, mazao mbadala ya biashara zaid ya kahawa, meli kubwa. uchumi wa ziwa, uhuru wa kutrade na nchi jirani na elimu ya ujasiriamali
 
Wengekuwa wanajua nini wanataka ule mkoa wao usingekuwa vile a very poor region across the country
 
Wahaya wengi ni wajuaji na hawajui wanachokitaka. Kuhusisha juhudi za darasani na uhalisia wa maisha ndio IQ. Nitajie muhaya yoyote alievumbua kitu chochote hapa tanzania na duniani hapo nitakuelewa..wahaya wengi wanapiga misuli sana ndio maana wanafaulu
 
Upo unakoment kwenye platform iliyotengenezwa na mhaya.

Wahaya ni moja ya jamii ya kwanza kufua vyuma Dunia hii. Wew jamii yako iná kipi cha kujivunia😂....

View: https://youtu.be/Dv9HVHpkt9E?si=jFVcJsDHQB4AVAIj
 
Mhaya mwingine huyo hapo...
Na wapo wengi tu. Wew hujui kwa sababu hujakutana nao kitaa.

View: https://youtu.be/FB95CLFa4SE?si=olrI_hICsAuuOYhj
 
Upo unakoment kwenye platform iliyotengenezwa na mhaya.

Wahaya ni moja ya jamii ya kwanza kufua vyuma Dunia hii. Wew jamii yako iná kipi cha kujivunia😂....

View: https://youtu.be/Dv9HVHpkt9E?si=jFVcJsDHQB4AVAIj
Ivi unaelewa maana ya kuvumbua kitu kipya..kwahiyo kwa akili yako jamii forum ni kitu kipya??? Quora digest has been there for years...ni sawa na uniambie masoud kipanya kavumbua gari nitakuona mvivu wa kufikiri.
 
Ule umaskini wa Kagera umesababishwa na kuwa na akili?
 
Wahaya tuna IQ kubwa hilo halina ubishi..!🤸
Wote waliooa wanawake wa kihaya hawajawahi kujutia
Nyie wa sifa za kilofa fikirieni namna ya kuutoa mkoa wenu ktk umaskini. Uhayani kuna umaskini sijawahi ona popote hapa nchini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…