Wahaya wana Akili sana kiukweli

Wahaya wana Akili sana kiukweli

Ila , Elimu ni kama kichocheo tu cha kuwa tajiri ila sio chanzo cha kuwa tajiri . Ardhini ndo kuna vyanzo vya kupata utajiri . Ardhi ya Kagera inategemea kilimo . Lakini Kuna mikoa mingine imebarikiwa Madini ardhini . Mkoa kama Geita unachangia asilimia kubwa kwenye pato la Taifa ila wananchi wa mkoa huo ni maskini.
Geita na Kagera ni nani masikini zaidi?

Mbeya hawana madini nao si wanategemea kilimo kama Kagera mbona wamewapiga gap kubwa sana?

Mnasema mna akili kumbe mmeshindwa kutumia hata akili zenu kujinusuru kutoka kwenye umasikini kupitia kilimo na mna ardh yenye rutuba

Basi nyinyi ni wajinga
 
Wengi wa wahaya tumesambaa huku mikoani tukifanya shughuli zingine . Hali hii labda ndo imefanya kuua kilimo Bukoba .
 
Wengi wa wahaya tumesambaa huku mikoani tukifanya shughuli zingine . Hali hii labda ndo imefanya kuua kilimo Bukoba .
Mtawazidi Wachaga, Wasukuma, Wanyakyusa na makabila mengine kwa kusambaa?

Kaangalieni kwa wenzenu waliosambaa halafu linganisha na kijiji chenu cha Kagera

Nyinyi hamjasaambaa kabisa wala usitafute kisingizio

Eti Wahaya tuna akili sana. Akili gani na huku mko top 3 ya mikoa masikini Tanzania!!
 
😃 Sawa . Macho yako umeyaelekeza kwa mambo mabaya tu ya wahaya ila Kila kabila lina mabaya yake pia . Nenda pia hapo mlimani na kwenye maofisi ya serikali utawakuta wahaya wengi tu wako busy wanajenga nchi .
Usibishane na hao watu. Achana nao.

Ukiona mtu anapenda kukuongelea tena KWA MABAYA TU wakati hakuna binadamu mkamilifu ujue UNA KITU. ( Potential)
 
Ndugu zetu wahaya wamebarikiwa kuwa na akili Sana. wapo na IQ kubwa.

Na wengi wanajua wanataka nini katika MAISHA.

Hongereni Sana

Sijui tungekuwa wapi bila wahaya, hongera Sana Max na wengineo.

NB: Huu ni mtazamo tu tusijenge chuki.

DNA factor, zina mchango wake.
Unapaswa kuombewa huyo max kafanya nini.unapimaje kuwa kabila hili lina akili na lingine halina?hivi Mungu huwa ni mbaguzi kiasi hicho.wewe utakuwa mhaya na sifa zenu tunazijua.
 
Ndugu zetu wahaya wamebarikiwa kuwa na akili Sana. wapo na IQ kubwa.

Na wengi wanajua wanataka nini katika MAISHA.

Hongereni Sana

Sijui tungekuwa wapi bila wahaya, hongera Sana Max na wengineo.

NB: Huu ni mtazamo tu tusijenge chuki.

DNA factor, zina mchango wake.
Ni kweli wapo vizuri kichwani
 
Wahaya tuna IQ kubwa hilo halina ubishi..![emoji1732]
Wote waliooa wanawake wa kihaya hawajawahi kujutia
Mhaya ni mwanamke wa kuoa kweli?wao kwa wao wanashindwana iwe kabila jingine!mm nimeishi Bukoba miaka zaidi ya kumi sijaona lolote.Mchengerwa wakati ni waziri wa utumishi alipozuru mkoa wa Kagera aliushangaa naye pia alifanya kazi ktk mkoa huo
 
Back
Top Bottom