Wahaya wote popote pale mlipo tuombeni radhi wana Mara na Kanda ya Ziwa wote haraka

Wahaya wote popote pale mlipo tuombeni radhi wana Mara na Kanda ya Ziwa wote haraka

Mkuu lakini usisahau kuwa kuna Mbunye ' maandazi ' na Mbunye ' chocolate ' hivyo kuna uwezekano Mbunye ya ' Skeleton ' ina ladha ya ' Chocolate ' na ndiyo maana umeweza kuona hadi Mr. Fursa alikuwa anaipengea ' Kamasi ' katika Simu hapo kama ulivyomsikia.
Nimesikitishwa sana na mzee wa fursa yaani anapenga na makamasi na makamasi kabisa!!!
 
Kwa Kitendo cha kutudhalilisha Sisi wana Kanda ya Ziwa wote na hasa hasa Sisi Wajomba na Shangazi zenu ( Watani ) Watu wa Mkoa wa Mara ( yakijumuishwa ) Makabila yote yapatikanayo katika huo Mkoa tunawaomba upesi kama siyo haraka sana Wahaya wote popote pale mlipo mtuombe radhi na Mheshimiwa Ruge Mutahaba atuandalie Ng'ombe kama Saba ( 7 ) na Pombe yetu ile ya Kienyeji Watu wa Mara ya Brandi / Gongo ili tumsamehe kwa Kosa kubwa la Kumlilia Zamaradi Mketema wakati huku Mkoani Mara kuna Wasichana / Wanawake Warembo kumzidi huyo aliyekuwa anamlilia.

Sasa ole wenu Wahaya wote na Wana Mkoa wa Kagera msiandae hiyo faini tunayoitaka kwani tutawalaani vibaya na mtakumbwa na makubwa zaidi ya Mv Bukoba na Tetemeko la Ardhi ndipo mtajua kuwa Sisi Wajomba na Shangazi zenu Kitendo hiki cha Ruge Mutahaba kulilia ' Mbunye ' kimetuudhi na kutusikitisha sana Sisi wana Mkoa wa Mara.

Hivi Watani zangu Wahaya siku hizi ' mmerogwa ' na nini? Kwanini mnakuwa ' legelege ' hivi? Hivi Ruge alinitafuta Mimi GENTAMYCINE labda hata nimtafutie Dada yangu au Mwanamke wa Kikurya au Kijita au Kijaluo au wa kwetu kule Uzanakini nikashindwa hadi aanze kututia ' aibu ' wana Kanda ya Ziwa kwa kulia lia?

Watani zangu bhana!!!!!!!
0b5ba21467316ffea21deaefea222849.jpg
 

Hivi humu ' Jamvini ' hakuna Wahaya? Jamani wahaya hebu jitokezi upesi mjibu kwani leo nipo na nyie na ' mtanikoma ' hakyanani humu. Yaani kabisa Mwanamume wa Kanda ya Ziwa tena Watani kabisa unalilia Mbunye ya Skeleton kweli? Hivi mliambiwa Musoma hakuna Wanawake?

Leo nina nyie!
f59289794b07b2d204bef70f3b3345b0.jpg
 
Ila siyo hadi kwa Kupenga Kamasi kule kwa Ruge Mutahaba. Halafu nimeshakustukia kumbe na Wewe ni Mhaya. Haya ndiyo mmetufanyia nini hivi Sisi Watani zenu wana Mkoa wa Mara na wana Kanda ya Ziwa wote?

Ha ha haaa hivi unadhani alipenga kamasi!? hapana zile ni mbinu tu za kumfanya Zama aone alichofanya sicho... hata chozi halikumtoka kajifanyisha tu... hivi wewe huwajui wahaya vizuri eeee pale ni full maigizo, kajiliza hadi Zama kalegeza sauti...
na siku zote ndio mchezo wake ndio maana hata akifumaniwa Zama alikuwa anasamehe tu.... hapana chezea penzi la kihaya.
 
Du ashakupitia Ruge, mpaka ukajua kibamia chake kumbe?...acha gubu bibie
Ana kibamia sema anajua mahaba,anaongea mwanzo mwisho wakati wa mechi.Na ahadi za ndoa hadi anakuomba umzalie.Hahahahaha
 
ha haha haaa kaka ruge alijua bidada hana oakwenda hasa akijua kasha mzalisha
Ndiyo matatizo ya kuishi kwa mazoea haya .....apambane na hali yake hakuna namna......pesa kamwe haiwezi kununua upendo
 
Huyo Ruge tunamsubili nyumbani bukoba akifika tu lazima tukusanyike ukoo mzima apate bakola mbele ya adhara maana katuaibisha akina nshomile,
Wakola waitu!!!
 
Lakini Ruge ni wa Dar tusishangae sana japo ni mhaya.
Kuishi Dar kwataka moyo, si wanaume si wasichana, wote wavivu.
Unakuta kabinti kadogo , kidogo tu " nimechoka bebi tulale kwanza"
Kwa sisi tunaokula ugali was mhogo tunalalaga tumeshikilia nanili au unachukua sabuni huyooo bafuni.
 
Hii movie ni funga kazi. DAB amedhamini harusi na Me bebez anafurahia mchezo mzima. Wamemshoosha handsome wa Kiyaya kwa kiburi chake. Hakuna rangi ataacha ona. Zama inabidi apewe ajira Le bebez TV.
 
Wote wanyarwanda hao,tatizo hawaendi jando,Zama kakutana na mmakonde kwa nini asimwache kibamia Ruge ?
Heee, kibamia kinaonekanae jamani? Kweli nimeamini asifuye mvua imemnyea
Hii movie ni funga kazi. DAB amedhamini harusi na Me bebez anafurahia mchezo mzima. Wamemshoosha handsome wa Kiyaya kwa kiburi chake. Hakuna rangi ataacha ona. Zama inabidi apewe ajira Le bebez TV.
 
Back
Top Bottom