Wahaya wote popote pale mlipo tuombeni radhi wana Mara na Kanda ya Ziwa wote haraka

Wahaya wote popote pale mlipo tuombeni radhi wana Mara na Kanda ya Ziwa wote haraka

Ila kweli katuharibia kabisa CV hatuliliagi Papuchi sisi hawa watani wetu cjui vipi?Ila yule bi mdada si mtu wa Tanga kule si ndiyo yalipozaliwa ........
Kumbe zama ni mtu wa kaskazini basi iki ni kipigo kizito sana kanda ya ziwa
 
Tunakikao cha dharura hapa ujaluoni kulijadili hili swala tutaleta mrejesho
 
Yaani leo mtanikoma. Mkitaka ninyamaze wekeni hao Ng'ombe Saba na hiyo Pombe ya Gongo / Brandi nitanyamaza la sivyo leo mtanibeba ' Mzanaki ' Mimi humu Jamvini hakyanani!
Obhurandi! Muraa tigha mbani. Omurisya.... Ekibhumbu ekimwita. Nimechapia kamanda.
 
Hivi watu wa Mara watani wao ni watu wa Kagera au Kigoma?
 
yule kaka hapana maswala yakunipa katorero naweza zubaa
Na siku ukionjeshwa katerero hata kwa dakika tano tu.., ukazungushwa sakafuni kitu imooooo ujue ndio utasahau kutanguliza pesa mbele.

Yaani mtu atakuwa akikutokea badala ya kumuuliza anamiliki bei gani utakuwa unauliza kama anaweza katerero kwanza.
 
Nasitaki inipitie maisha Yangu yote
 
Mhaya hawezi kubadili dini kisa mbunyee hayo mengine wame edit
 
Yaaani tata muraa reo hapa kyambakarii barabarani hapa gari zinazopita kwenda musoma na mwanza yaanii mura wakinamama wote hawaamini kusikia kirio cha mjomba wetu.
 
Back
Top Bottom