Wahehe waliwahi kuwa kabila lenye ushawishi na nguvu kubwa nchini. Ni kitu gani kimepeleka anguko lao?

Wahehe waliwahi kuwa kabila lenye ushawishi na nguvu kubwa nchini. Ni kitu gani kimepeleka anguko lao?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Ni moja ya kabila lililowahi kuwa na influence serikalini, jeshini, elimu, vyeo vizito, n.k.

Kwa sasa ile glory ya wahehe imeporomoka sana, limekuwa kabila la kawaida sana, kilichibaki kuwatambulisha labda historia ya Mkwawa.

Nini kimepelekea hali hii?
 
Wahehe shida yao kubwa ni kutobebana kutokana na tabia zao za kufuata ethics za kazi. Mhehe anapenda sana kuheshimu sheria, kanuni na miiko iliyowekwa. Pia mhehe, ana "umimi", kupenda aonekane yeye kama yeye. Sifa nyingine ya Mhehe ni mtu anayeweza kuaminika.
 
Ni kabila ambalo liliwahi kuwa na power kubwa sana katika medani za taifa kuanzia serikalini, jeshini, elimu, vyeo vizito, n.k.
.
Kwa sasa kuna anguka kubwa sana la uwakilishi wao kwenye sehemu kibao, Limekuwa kabila la kawaida sana labda cha kuwatambulisha zaidi ni historia ya Mkwawa pekee.

Nini kimepelekea hali hii ?
Ulanzi na ugimbi
 
Kuna kabila hapa nchini mmoja wao akiwa hata mkuu wa kituo tu kituo kizima kknajaa staff wa kabila hilo

Wahehe hawako hivyo na wako vizuri tu.
Nilichoona wahehe huwa wanabebana kifamilia ama ndugu wa karibu , sio kikabila
 
Ni moja ya kabila lililowahi kuwa na influence serikalini, jeshini, elimu, vyeo vizito, n.k.

Kwa sasa ile glory ya wahehe imeporomoka sana, Limekuwa kabila la kawaida sana, kilichibaki kuwatambulisha labda historia ya Mkwawa.

Nini kimepelekea hali hii ?
Kunywa ugimbi kwa sana(pombe ya ulanzi)!
 
Back
Top Bottom