Wahenga mpooooo

Tupo Jana na Leo,na kuna wale wa napenda kukaa kwenye vimito vya maji
 
Utoto raha Sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Fukufuku toka nitakupa wali aisee unaona huyo mdudu anatokea kwenye udongo
 
Hakuna kabisa yaani. Na hivyo vishimo ukivifukua lazima hicho kimdudu kiwepo.
Ahahahhh kisipotokea tunapiga na mikono pembeni ya kijumba chake utoto bwana
 
Hahaha... ulishaangali The dictator?

Kuna mmama ni mlinzi wa Gen. Aladin anapiga watu na maziwa hadi wanazimia...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…