Kuna watoto watakupigia nyeto kwa haya maneno wallah.....[emoji39] [emoji39] [emoji39]Hivi mnakumbuka hawa wadudu fuku fuku jaman tulikuwa tunawaweka kwenye maziwa kipindi tupo wadogo ili tukikuwa maziwa yawe makubwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pembeni ya nyumba yetu nikitoka tu nakuta wamefukua naanza sasa fuku fuku fukua [emoji3][emoji3][emoji3] akitokea namuweka kwenye chuchu jaman utoto raha kifua cheupee hakina nyonyo eti maziwa yawe makubwa ila wakishua sijui kama mnawajua hao wadudu
[emoji3][emoji3][emoji3] fukufuku alifanya yake na dushe limekuwa
Yote kwa yote inawezekana kwa Mungu na fukufuku
[emoji1] [emoji1] watoto wa siku hizi watajulia wapi michezo wakati wanachezea laptop na midori inayoongea[emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] fuku fuku kiboko hao wa mtoni sijawahi waona yaan fuku fuku wa kwenye nyumba nikitoka tu nje nakuta wameshafukua naanza sasa kuimba na kuwaweka kwenye nyonyo uking'atwa unajisikia raha unaona nyonyo litakuwa
Watoto wa sasa hivi kweli hawafahidi michezo
Haha ile ya kupiga matiti ni ya ukweli.Hahahaa... umenikumbusha mbali. Wakati wa kutoka shule tukiwakuta njiani ndo ilkua kazi yetu kuwekeana kwenye matiti. Mwenzio anakuekea halafu unaambiwa bana bana usiachie.
Halafu kuna ile ya kupiga matiti na mwiko yasiwe makubwa. Yani akili za kitoto ni za kipekee
Natama niwe mtoto niwafundishe kufukua fukufuku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu
Mi nayajua madude flani hivi yapo kama bilinganya watoto wa kiume wanaobalehe wale walikua wanachagua limoja kweny maua yake wanalifunga kamba inakua inaning'inia,jinsi linavyoendelea kukua wanaamin na dushe inakua kufatana na lile lidude....tunaita limbambata[emoji1]Kumbe mpaka wanaume mlikuwa mnafanya huko kwenye naniliu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa mlikuwa mnatakata yawe makubwa myafanyie nn au ili mnipe niyanyonye[emoji23][emoji23][emoji23]
KabiiisaaaUtoto raha Sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]nimekuwa mhenga kumbeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi demiss una nini lakini?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Napita kwa makini kutazama hawa wahenga kwa jicho makini na wakati makini
Hahaha bora wewe,mi yani yamekua makubwa nikienda kununua sidiria sipati size yangu mpaka wakatafute stoo[emoji23]Fuku fuku toka mama yako kajaaa
Fuku fuku toka mama yako kajaaa
Kwann hujanitag[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]saiv manyonyo yamekuwa makubwa kusimama mpaka upige deki
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Huyu mshikaji (fukufuku) nilikuwaga nalala nae chupini usiku mzima. Nilikuwa namuweka kwenye duduwasha langu ili likuwe kubwa kama muhogo, kuna jamaa mtaani alituambiaga eti ukijichanja kwenye dushe unamuweka huyu mshikaji ili alambe zile damu, akifanya vile ndo dushe linakuwa kubwa. Mpaka sasa sijajuwa ukubwa nilionao ni kwa ajili ya huyu mdudu au ndo baraka yangu.