Wahenga mpooooo

Wahenga mpooooo

Hivi mnakumbuka hawa wadudu fuku fuku jaman tulikuwa tunawaweka kwenye maziwa kipindi tupo wadogo ili tukikuwa maziwa yawe makubwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Pembeni ya nyumba yetu nikitoka tu nakuta wamefukua naanza sasa fuku fuku fukua [emoji3][emoji3][emoji3] akitokea namuweka kwenye chuchu jaman utoto raha kifua cheupee hakina nyonyo eti maziwa yawe makubwa ila wakishua sijui kama mnawajua hao wadudu
30492c466fb595c7dbc648a719060eb1.jpg
Kuna watoto watakupigia nyeto kwa haya maneno wallah.....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] fuku fuku kiboko hao wa mtoni sijawahi waona yaan fuku fuku wa kwenye nyumba nikitoka tu nje nakuta wameshafukua naanza sasa kuimba na kuwaweka kwenye nyonyo uking'atwa unajisikia raha unaona nyonyo litakuwa

Watoto wa sasa hivi kweli hawafahidi michezo
[emoji1] [emoji1] watoto wa siku hizi watajulia wapi michezo wakati wanachezea laptop na midori inayoongea[emoji1]
Sie tulichezea udongo,na mwanasesere wa vitambaa na makaratasi
 
Hahahaa... umenikumbusha mbali. Wakati wa kutoka shule tukiwakuta njiani ndo ilkua kazi yetu kuwekeana kwenye matiti. Mwenzio anakuekea halafu unaambiwa bana bana usiachie.

Halafu kuna ile ya kupiga matiti na mwiko yasiwe makubwa. Yani akili za kitoto ni za kipekee
Haha ile ya kupiga matiti ni ya ukweli.
Kijijini kwetu kama msichana anakua amewahi kuanza kuota maziwa wabibi wanayapiga na mwiko yanarudi ndani,au kuna wale wengine unakuta anaanza kuota maziwa lkn ile raundi ya nyonyo(sijui nielezeaje hapa)yani ule mduara unakua umetanuka mpk maeneo ya karbu na kwapa ivi,bas hao wabib watayapiga piga na mwiko mpaka yanarudi katikati
Hapa huo mwiko unakua unapashwa kwanza kwenye moto[emoji1] ila haupati joto sana usije ukakuunguza bure
 
Umenikumbusha kipichi hicho kulikuwa hakuna skintight mlikuwa mnavaa vibukta vya Kaki kama askari wa kikoloni , Masister zangu walikuwa wehu zaidi mana walikuwa wanatamani hadi makalio ya kue makubwa kwahiyo walikuwa wakiwang'atisha hadi makalioni ... Kweli watoto wakike huwaga wajanja mapema sana
 
Kumbe mpaka wanaume mlikuwa mnafanya huko kwenye naniliu
Mi nayajua madude flani hivi yapo kama bilinganya watoto wa kiume wanaobalehe wale walikua wanachagua limoja kweny maua yake wanalifunga kamba inakua inaning'inia,jinsi linavyoendelea kukua wanaamin na dushe inakua kufatana na lile lidude....tunaita limbambata[emoji1]
 
Fuku fuku toka mama yako kajaaa

Fuku fuku toka mama yako kajaaa

Kwann hujanitag[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]saiv manyonyo yamekuwa makubwa kusimama mpaka upige deki
Hahaha bora wewe,mi yani yamekua makubwa nikienda kununua sidiria sipati size yangu mpaka wakatafute stoo[emoji23]
Wanaume wakintongoza wananiuliza nna watoto wangapi,mwngine anauliza mwanao yuko wapi,mara mwingine mbona umemwacha mtoto nyumbn akitaka kunyonya unafanyaje[emoji23][emoji23]
Nikiwaambia sijazaa hawaamni,nimepanga nichonge kibao nikivae shingoni na maandishi "NYONYO LISIKUTISHE SIJAZAA BADO"
 
Huyu mshikaji (fukufuku) nilikuwaga nalala nae chupini usiku mzima. Nilikuwa namuweka kwenye duduwasha langu ili likuwe kubwa kama muhogo, kuna jamaa mtaani alituambiaga eti ukijichanja kwenye dushe unamuweka huyu mshikaji ili alambe zile damu, akifanya vile ndo dushe linakuwa kubwa. Mpaka sasa sijajuwa ukubwa nilionao ni kwa ajili ya huyu mdudu au ndo baraka yangu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom