Wewe tena shemej yanguNitashukuru sana.
[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe tena shemej yangu
Ndio nimetoka kwenye jumuiya comrade.....Na wasi wasi na wewe pia kama utapiga nyeto
[emoji23] [emoji23] [emoji23] staki ukimbieNiliangaika sana kukutafutia fukufuku kipindi kile nahisi ni wakati mubashara nijionee wale fukufuku walikuwa real au wa kichina.
Shunie unaweza kuwa mhenga kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akiii nimekumbuka zamani na ukiwaweka kifuani wanavyong'ata na kuvuta viziwa
tupo sa hivi huyu mdudu wanamuweka kwenye makalio ... trust me i am a mhengaHivi mnakumbuka hawa wadudu fuku fuku jaman tulikuwa tunawaweka kwenye maziwa kipindi tupo wadogo ili tukikuwa maziwa yawe makubwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pembeni ya nyumba yetu nikitoka tu nakuta wamefukua naanza sasa fuku fuku fukua [emoji3][emoji3][emoji3] akitokea namuweka kwenye chuchu jaman utoto raha kifua cheupee hakina nyonyo eti maziwa yawe makubwa ila wakishua sijui kama mnawajua hao wadudu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sikimbii we njoo unifunike nayo usoni niwe kama nakanda unga wa kupikia maandazi au chapati[emoji23] [emoji23] [emoji23] staki ukimbie
Sasa we unadhani tutafanyaje shunie akee.. Wacha tuvikutanishe tu vikojoleo vyetu visalimiane.Khaaaaa jomoni