Wahenga mpooooo

Wahenga mpooooo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi tulikuwa tunakama nzi kisha tunamdumbukiza humo. Lazima aliwe. Fukufuku noma sana
 
Hahahaahaha
Kweli zamani kulikuwa ni kutamu sana
Yaani Shunie umenikumbusha mbali sana
Kipindi hicho mnachecha kibaba na mama alafu unamwekea mwanamke wako maziwa yawe makubwa then unamtengenezea mdoli wa matambara na unaweka manyonyo ili mama (yaani mkeo)amnyonyeshe
Chini umevaa chachacha na chupi ya baba iliyoisha unashonewa na sindano hahahahahaaaaaaa
 
Hivi mnakumbuka hawa wadudu fuku fuku jaman tulikuwa tunawaweka kwenye maziwa kipindi tupo wadogo ili tukikuwa maziwa yawe makubwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Pembeni ya nyumba yetu nikitoka tu nakuta wamefukua naanza sasa fuku fuku fukua [emoji3][emoji3][emoji3] akitokea namuweka kwenye chuchu jaman utoto raha kifua cheupee hakina nyonyo eti maziwa yawe makubwa ila wakishua sijui kama mnawajua hao wadudu
30492c466fb595c7dbc648a719060eb1.jpg
tupo sa hivi huyu mdudu wanamuweka kwenye makalio ... trust me i am a mhenga
 
Mi muhenga kweli kweli but nilikuwa naona dada zangu wakifanya hivyo b4 nifikie umri wa kutamani manyonyo tukahamia ushuani

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom