Sasa wewe mtoto wa masaki utawajulia wapi... vumbi unalionea kwenye garden tena hadi uombe ruhusa.Hawa cwafamu..
Mm na marafiki zangu tulikuwa tunaeka wale wadudu wa mtoni
Tulikuwa tunawaita chora baruaaa
Muda tunaenda kuchota maji ya kudekia ndo tunawachota na hao wadudu
Ila matiti yenyewe hayajakuaga makubwa wala nn
Tulikuwa tunadanganyana kwae
Najua hisia haziwezi kunidanganya.... nachojiuliza tu je kajizama ndani kesi inakuwa ya nani? Yako au chukuchuku?hahahahahah bora tu ujiongeze maana sitaweza kujieleza
Fuku fuku nnao sa hv nije nikuwekee hapo pengne?mimi nilikuwa nawaweka pale pengine
teh teh
walinidanganya aiseee
usiniulize pengine wapi maana wewe ni shem
Mzee bila shaka ulikuwa unaenjoy bhana.Kaz yangu mimi nilikuwa dalali wa fukufuku nikiwapata tu naanza kutafuta wa kumuwekea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wapiiii!Sasa wewe mtoto wa masaki utawajulia wapi... vumbi unalionea kwenye garden tena hadi uombe ruhusa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wapiiii!
Nimesoma sanawari primary school
Kwenye hii shule Kuna mito miwili,chora baruaaa na vichwa runguu wakutosha
Uwanja wa shule nao Ulikuwa vumbi tupu Ila ckuwai kuwaona hao wadudu Au Uku Arusha hawapo?
Ahaa sana kufunuliwa kifua flat acha kabisaMzee bila shaka ulikuwa unaenjoy bhana.
haha aseeh shunie sasa kakua tafuta pa kuzichimba urudie enzi.Ahaa sana kufunuliwa kifua flat acha kabisa
Hao wa mtoni minah wanafanaje me siwajui halaf minah we ni wa kishua ndio mana huwajuiHawa cwafamu..
Mm na marafiki zangu tulikuwa tunaeka wale wadudu wa mtoni
Tulikuwa tunawaita chora baruaaa
Muda tunaenda kuchota maji ya kudekia ndo tunawachota na hao wadudu
Ila matiti yenyewe hayajakuaga makubwa wala nn
Tulikuwa tunadanganyana kwae
Ahahahhhh umenikumbusha hiyo ya mwiko kupiga kwenye matitiHahahaa... umenikumbusha mbali. Wakati wa kutoka shule tukiwakuta njiani ndo ilkua kazi yetu kuwekeana kwenye matiti. Mwenzio anakuekea halafu unaambiwa bana bana usiachie.
Halafu kuna ile ya kupiga matiti na mwiko yasiwe makubwa. Yani akili za kitoto ni za kipekee
Bisheni nanyi mtafunguliwa....Mlokole kweli anauliza hivyo [emoji115]
Kucheza mtoni raha jamanTeh... umesoma mwaka gani sanawari?
Kumbe nyie ndiyo mlikuwa mnafundisha klaree kucheza pale mtoni eeeh hadi anachelewa kurudi nyumbani?