Wahenga mpooooo

Wahenga mpooooo

Hawa cwafamu..
Mm na marafiki zangu tulikuwa tunaeka wale wadudu wa mtoni

Tulikuwa tunawaita chora baruaaa

Muda tunaenda kuchota maji ya kudekia ndo tunawachota na hao wadudu

Ila matiti yenyewe hayajakuaga makubwa wala nn

Tulikuwa tunadanganyana kwae
Sasa wewe mtoto wa masaki utawajulia wapi... vumbi unalionea kwenye garden tena hadi uombe ruhusa.
 
Sasa wewe mtoto wa masaki utawajulia wapi... vumbi unalionea kwenye garden tena hadi uombe ruhusa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wapiiii!
Nimesoma sanawari primary school
Kwenye hii shule Kuna mito miwili,chora baruaaa na vichwa runguu wakutosha

Uwanja wa shule nao Ulikuwa vumbi tupu Ila ckuwai kuwaona hao wadudu Au Uku Arusha hawapo?
 
Teh... umesoma mwaka gani sanawari?

Kumbe nyie ndiyo mlikuwa mnafundisha klaree kucheza pale mtoni eeeh hadi anachelewa kurudi nyumbani?
 
Watu wanaangaika kutafuta vumbi la mkongo kuondoa bamia ... kwanini wasimtumie mdudu huyo aliyefanya vizuri na kutoa majibu kwa kukuza matiti ya wadada wa zamani (kamanyola) ili waondoe tatizo sugu la vibamia?
 
Hawa cwafamu..
Mm na marafiki zangu tulikuwa tunaeka wale wadudu wa mtoni

Tulikuwa tunawaita chora baruaaa

Muda tunaenda kuchota maji ya kudekia ndo tunawachota na hao wadudu

Ila matiti yenyewe hayajakuaga makubwa wala nn

Tulikuwa tunadanganyana kwae
Hao wa mtoni minah wanafanaje me siwajui halaf minah we ni wa kishua ndio mana huwajui
 
Hahahaa... umenikumbusha mbali. Wakati wa kutoka shule tukiwakuta njiani ndo ilkua kazi yetu kuwekeana kwenye matiti. Mwenzio anakuekea halafu unaambiwa bana bana usiachie.

Halafu kuna ile ya kupiga matiti na mwiko yasiwe makubwa. Yani akili za kitoto ni za kipekee
Ahahahhhh umenikumbusha hiyo ya mwiko kupiga kwenye matiti
 
Kaz yangu mimi nilikuwa dalali wa fukufuku nikiwapata tu naanza kutafuta wa kumuwekea
Kama nakuona dalali kwenye kazi yake hivi lakini we si wa kishua hao fukufuku umewajulia wapi
 
Teh... umesoma mwaka gani sanawari?

Kumbe nyie ndiyo mlikuwa mnafundisha klaree kucheza pale mtoni eeeh hadi anachelewa kurudi nyumbani?
Kucheza mtoni raha jaman
Wakati wa likizo tukienda zamu shule ,Tulikuwa tunavua uniform tunafua ,wakati tunasubir zikauke tunajiekea wadudu Sasa

Bwy.. Nilimaliza 2006
 
Back
Top Bottom