Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Nimefunzwa nisiwanyime kitu ndugu wa mume.haaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimefunzwa nisiwanyime kitu ndugu wa mume.haaaaaa
Nilichopewa na Mungu kumnyima mwanaume dhambi.Na kwann umnyime shemej ulichopewa na maulana acha ntangulie kuzima taa
Sharing is caring.Mzee nilikuwa nafanya konfimeshen wa taarifa zangu
walisema pamoja na hiyo au hawakuspesifaiNimefunzwa nisiwanyime kitu ndugu wa mume.
Wakunyumba nataka kuwa Mswati wa kike. [emoji2][emoji2][emoji2]Na wewe upo kwenye list wakunyumba mbona wanaume wote unawamaliza si wengine twende wapi
hiviiiii, jaman jamanBasi na mie nipo mwaya. Tuko kama sita humu. Kajitahidi kweli kuwa na namba ndogo lakini.
Hawakusema. Niliambiwa tu uchoyo ila sikuambiwa uchoyo kwenye nini.walisema pamoja na hiyo au hawakuspesifai
Hapana shemeji nimetamni tu ningekwepo nikuchimbie tu fukufuku walau ingetosha.hahahahahahahah
shemeji sasa ungekuwepo wkt huo mida hii ungeogopa kuniangalia bhana acha hizo
Nipo hapa shem darling