Wahenga mpooooo

Wahenga mpooooo

Hivi mnakumbuka hawa wadudu fuku fuku jaman tulikuwa tunawaweka kwenye maziwa kipindi tupo wadogo ili tukikuwa maziwa yawe makubwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Pembeni ya nyumba yetu nikitoka tu nakuta wamefukua naanza sasa fuku fuku fukua [emoji3][emoji3][emoji3] akitokea namuweka kwenye chuchu jaman utoto raha kifua cheupee hakina nyonyo eti maziwa yawe makubwa ila wakishua sijui kama mnawajua hao wadudu
30492c466fb595c7dbc648a719060eb1.jpg
Kumbe umekua kipindi hicho basi upo sawa na mdogo wangu wa kike nilikuwaga namuona tu anafanya huo mchezo
 
Watermelon hiyo nzuri. Inaleta amsha amsha. Vidogo sana sio. Niples za watermelon nzuri kutomasa. Hasa ukizisugua na kidevu. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Yiiih. Ule msisimko unaisikia mpaka kwenye chembe ya moyo.
 
Hao wanaitwa chukuchuku jje's atakuwa anawajua....

Kuna kawimbo wakati tunawachimba tunaimba..

Chukuchuku toka .... wanaitikia tokaaa.

Noma saana.

Sio chuchu tu... wapiga puchu watatoa ushuhuda. Karibuni.
Ww matiti yako ni makubwa?
 
Huyu mshikaji (fukufuku) nilikuwaga nalala nae chupini usiku mzima. Nilikuwa namuweka kwenye duduwasha langu ili likuwe kubwa kama muhogo, kuna jamaa mtaani alituambiaga eti ukijichanja kwenye dushe unamuweka huyu mshikaji ili alambe zile damu, akifanya vile ndo dushe linakuwa kubwa. Mpaka sasa sijajuwa ukubwa nilionao ni kwa ajili ya huyu mdudu au ndo baraka yangu.
Unalo kubwa eeeh? Ugonjwa wangu huo.
 
Back
Top Bottom