Wahenga msaada wa nyimbo hizi tafadhali

MKONGORO

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
343
Reaction score
304
Wahenga wenzangu bila shaka kwa uwezo wa Mungu hamjambo kabisa! Wakuu naombeni msaaada kuna nyimbo nimetafuta kwa kuseach kila kona bila mafanikio kiukweli sijui ni bandi gani ziliimba hizo song ila nakumbuka baadhi ya maneno katika nyimbo hizo

1. Mama mdogo alinichukua kijijini, alimuahidi mama yangu mambo mengi yakwamba atanisomesha nakuyajali maisha yangu ya baadae.....

2.Marehemu aliusia msininyanyase....Watoto wamekuja juu wanataka nyumba yao

3. Kabwe rudi nyumbani ukitoka Gerezani...

Namba yangu ya WhatsApp 0 683 965 391

Natanguliza Shukrani
 
Njoo inibox na ela ya bando fasta
 
Nyimbo ya 1 vijana jazz 2 washirika tanzania stars 3 kimulimuli
 
Nyimbo ya 1 vijana jazz 2 washirika tanzania stars 3 kimulimuli
Aise nimesearch band zinaonekana ila nyimbo hizo sijapata msaada mkuu nitumie WhatsApp 0 683 965 391 Asante
 
Mkuu hii ina play lakini haitoi sauti ijaribu uone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…