MKONGORO
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 343
- 304
Wahenga wenzangu bila shaka kwa uwezo wa Mungu hamjambo kabisa! Wakuu naombeni msaaada kuna nyimbo nimetafuta kwa kuseach kila kona bila mafanikio kiukweli sijui ni bandi gani ziliimba hizo song ila nakumbuka baadhi ya maneno katika nyimbo hizo
1. Mama mdogo alinichukua kijijini, alimuahidi mama yangu mambo mengi yakwamba atanisomesha nakuyajali maisha yangu ya baadae.....
2.Marehemu aliusia msininyanyase....Watoto wamekuja juu wanataka nyumba yao
3. Kabwe rudi nyumbani ukitoka Gerezani...
Namba yangu ya WhatsApp 0 683 965 391
Natanguliza Shukrani