Nakumbuka baada ya kuacha kusikiliza TBC na kuhamia RFA nilikuwa napenda kusikiliza hiki kipindi cha Sitasahau kilikuwa kinarushwa saa mbili asubuhi siku ya jumapili kikifuatiwa na kile cha vitu vilivyovunja record sijui kiliitwaje baada ya hapo kilifuatiwa na Je huu ni uungwana???? Nlikuwa shabiki sana wa hilki kipindi wakati huo mtangazaji alikuwa Fredua ( sijui ndio inaandikwa hivi? ) baadae akaja mwingine anaitwa nani sijui mtani.
Yes ni je wajua daah nimezeeka hadi nasahau jina la kipindi nilichokuwa nakipenda. Ila nilikuwa sikipendi kihivyo nilikuwa natamani kiishe haraka nisikilize Je huu ni uungwana???? Kabla hakijaisha nilikuwa natimuliwa kwenda kanisani uzuri kanisa lilikuwa karibu kwa hiyo nilikuwa hata sipati tabu. Nilikuwa nagoma kwenda Sunday school nadai mi mkubwa kumbe nipo addicted na vipindi jamani.. Maisha yaleBaada ya Sitasahau, kilikuwa kinafuatiwa na kipindi cha ''Je wajua?" mtangazaji alikuwa Samada Maduhu(kama sijakosea)
Mimi kipindi cha Sitasahau kilikuwa kinanivutia sana na stori za watu mbalimbali kuhusu misukosuko ya maisha yao.Yes ni je wajua daah nimezeeka hadi nasahau jina la kipindi nilichokuwa nakipenda. Ila nilikuwa sikipendi kihivyo nilikuwa natamani kiishe haraka nisikilize Je huu ni uungwana???? Kabla hakijaisha nilikuwa natimuliwa kwenda kanisani uzuri kanisa lilikuwa karibu kwa hiyo nilikuwa hata sipati tabu. Nilikuwa nagoma kwenda Sunday school nadai mi mkubwa kumbe nipo addicted na vipindi jamani.. Maisha yale
Hahahaaaa, kazia tu Hajar maana wewe utakua muhenga mamboleoShikamoo Muhenga Ses. 🙈🙈🙈🙈
Japo sivijui hivyo vipindi huku na mie ni Muhenga pia Ses kwa hili naomba nikazie tu maana sina jinsi.💃💃💃💃💃
Mzee jangara kaanza jana tu. Mwenyewe alikuwa Mzee Jongo , mama Haambiliki, Kipara , Zena Dilip, rajab hatia na nk nk.Mchezo wa radio wa kina mzee jangara never miss enzi hizo
Mkuu hujalala[emoji23] [emoji23] [emoji23] hem weka
Mimi nakumbuka ile ya RFA watanzania tuzungumze magazeti. Ilikuwa kama ile ngoma ikinikuta nipo najiandaa najua nimeshachelewa ila ikinikuta ndio natoka mlangoni najua nimeshawahi ilikuwa saa ngapi sijui ileNilikua nakaa na bibi enzi hizo... nilikua naamshwa kila asubuhi na kipindi cha majira... kiasi kwamba mpaka leo ile soundtrack yake ndo alarm tone yangu yani inlmekaa kichwani balaa
Ha ha memories back then mi nilikua nachukia sana nikiiskia tu majiraaaa najua ndo naamshwa sasa niende shule.... ila sasa nakumbuka sana zama hizoMimi nakumbuka ile ya RFA watanzania tuzungumze magazeti. Ilikuwa kama ile ngoma ikinikuta nipo najiandaa najua nimeshachelewa ila ikinikuta ndio natoka mlangoni najua nimeshawahi ilikuwa saa ngapi sijui ile
Usiku saa nne kamiliNimekisahau hiki..kilikuwa kinarushwa muda gani?
Hizo jingle zote mbili ninazo kutoka kwa wapigaji Original, nitafuteni kwa SMS 0752 220 649 niwatumie saiviMimi nakumbuka ile ya RFA watanzania tuzungumze magazeti. Ilikuwa kama ile ngoma ikinikuta nipo najiandaa najua nimeshachelewa ila ikinikuta ndio natoka mlangoni najua nimeshawahi ilikuwa saa ngapi sijui ile
Msisihau External Service habar kimombo, na hadi leo tuna "mabibo external"Kweli saa moja walikuwa wanajiunga Z'bar aisee watu mna kumbukumbu
Sent using Jamii Forums mobile app