Wahenga wenzangu njoo tukumbushane vipindi vilivyobamba RTD enzi hizoo

Daah mkuu heshima kwako umeandika au unatoa kichwani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo Ukulima wa Kisasa huwezi sahau ule wimbo pendwa "shambani x3 mazao bora shambani. Tusikae mitaani, taani wananchi tukalime, mazao bora shambani wananchi tukalime"
ha ha ha ..walikuwa wanaanza...haya twendeni shambaaanii iiiiii...wananchio tukaliiimeeeeee....then shambani x3 ( ingekuwa na kuvoice record hapa ningeimba kidogo) ..yaani library ya RTD imesheheni vitu vingi sana
 
Haha, sasa sijui lengo la kuzima lilikuwa wafanyakazi wa kalale?

Mimi hadi leo ninayo kanda ya Jangalason nimetape baadhi ya vipindi.

Na tulishapigana na kaka yangu sababu ya kutape kanda zake hadi nikamchoma Kisu cha mguu.
Bahati yako ulimchoma mguu vinginevyo ungekuwa na kesi ya mauaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mhmm mkuu una kumbukumbu.lkn kuna kipindi mmekisahau.kiliitwa ugua polee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ha ha ha ..walikuwa wanaanza...haya twendeni shambaaanii iiiiii...wananchio tukaliiimeeeeee....then shambani x3 ( ingekuwa na kuvoice record hapa ningeimba kidogo) ..yaani library ya RTD imesheheni vitu vingi sana
Mnanifurahisha mnavyonikumbusha mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mhmm mkuu una kumbukumbu.lkn kuna kipindi mmekisahau.kiliitwa ugua polee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaaaaa...Ni kweli...Ndo maana nikaandika 'kwa uchache' mkuu...

Jingle yake ilikuwa hivi:

Wakati umewadia wa salamu za wagonjwa wa hospitalini leo tunawapa pole...

Ajuae bwana Mungu kwa mzima kuwa mfu mgonjwa kuwa salama leo tunawapa pole...

Kipindi chenu chawapeni pole...Wote twawapeni pole...Leo tunawapa pole...
 
Shikamoo mzee!
 
Yaani weweee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…