Wahhab kundi lenye itikadi kali ndani ya uislamu

W

Wabongo ni shida. Badala kujiuliza sisi kama watanzania tunajivunia kwa lipi tuko busy kulinganisha sijui waarabu na wazungu. Ukienda huko kwao wala hawajali kama wewe ni muislam au mkristo, wao wanakuweka kwenye kundi la black african.
Bora uende kwa wazungu kuliko hao waarabu.
Pale Zanzibar ukila hadharan utashangaa mashekh wanakuja na mapanga, marungu na mafimbo kukupiga.
Uzunguni unapata haki hata kama ni black African na siyo hao waarabu. Mwaarabu hawezi kufungwa kwa kosa la kukuua wewe ila mzungu anafungwa
 
Hiyo Algebra mbona hao waarabu hawajatumia kutengeneza vitu au bidhaa?
Ni sawa na wewe hapo kulikuwa hakuna gari kabisa. Sasa wewe ukatengeneza gari ya udongo, mvua ikinyesha ina bomoka. Akatokea mwingine akatengeneza gari ambayo unayoijua sasa. Wewe ukabaki, kuwa mwanzilishi wa gari la udongo. Wewe gari lako la udongo limekusaidia nini?
Tuje kweny Algebra, waislamu wametumia Algebra kutengeneza nn?
Hao mnaowaita makafiri wakiamua leo wawakataze kutumia vitu au bidhaa zao, unafikiri wewe muislamu utabaki na nn hapo?
 
Ndo uwezo wako wa kufikiria umeishia apo....embu Google basi upate ata A,B,C

Kwani china hakuna waislamu....? Ushasahau ata mafuta yanachimbwa taifa gani..?

Kwahyo U.E.A hawana kiwanda cha hzi nguo..?

Ukishindwa kuizunguka dunia basi kaa chini uisome....
Waarabu (waislamu) hawana akili ya kuchimba mafuta. Hilo unalijua, wangekuwa wana akili leo hii duniani kungekuwa na hata na social media zimetengenezwa na waislamu (waarabu). Hivyo viwanda unavyosema, waislamu (waarabu) hawana akili ya kutengeneza mitambo ya kutengeneza nguo😁😁😁😁
China kuna waislamu (idadi ndogo) kwahiyo hawana akili ya kutengeneza bidhaa zenye akili.
Waarabu (waislamu) wanaakili
1. Kutumia sharia
2. Kutengeneza tende
3. Kusoma Quran na kuitunza
4. Kukuita wewe kafiri hata kukua kutetea dini ya kiislamu
5. Kufundisha elimu ya madrasa
6. Kuchimba kisima cha kujitawazia
7. Kutengeneza mkojo wa ngamia
8. Kuhiji Macca
9. Kuamka saa 9 kula daku
Ukitaka kujua kuwa waislamu (waarabu) hawana akili, hapo ulipo usitumie bidhaa au vitu vilivyotengenezwa kwenye nchi za makafiri. Tuone utabakiwa na nini tena ikiwezekana vitupe anza sasa hivi😀😀😀😀
 
Tukiacha uwongo na tukasema ukweli wakiristo walio wengi ni wadini Sana kutoka moyoni mwao wanawachukia waislam bila sababu

Waislam ni wakarim sana ukiacha kitabu chao ambacho kina sheria Kali na makatazo mengi lakini chuki kwa dini nyingine ni ndogo ukilinganisha na wakiristo ukifuatilia comments za humu utajua

Narudia kusema dini ni mfumo wa kijamaa ambao unaweza kutekelezwa kwenye jamii inayouamini mfumo huo otherwise ni Vita
 
Uislamu unapigwa Vita na makundi mengi kulingana na sheria zake mfano

Mnzinzi apigwe mawe hadi afe

Mwizi akatwe mkono

Aliritadi/kutoka katika uislam auliwe

Jihad/kupigana na wapinga dini hasa wale walioanzisha Vita dhidi ya waislam

Mavazi ya stara kwa mwanamke kama kujifunika mwili wote kasoro viganja vya mikono na vitanga vya miguu na uso

Haram kunywa pombe, kula nguruwe, miziki na ala zake, riba, kusengenya, uongo na pumbao nyingine

Makundi yanayopinga sheria za uislam ni kama vile

Wakiristo na dini zote za kiyahudi

Waislam majina waliolewa pumbao za dunia na uzinzi

Serikali, hii ni kwakuwa uislam ni mfumo wenye katiba maalum(Quran) ya kiutawala inayotofautiana kabisa na ya serikali

Narudia kusema dini ni mfumo wa kijamaa ambao unaweza kutekelezwa kwenye jamii inayouamini mfumo huo otherwise ni Vita
 
Kwanini walioshika dini ya kiislam wanaitwa magaidi jibu ni kuwa,,,,,,,,,;

Uislamu ni mfumo wa kiutawala wenye katiba na muongozo wa kujitawala(Qur'an) ambayo kwa ujumla wake inatofautiana kabisha na katiba ya nchi( katiba ya wanadam) kimuundo na kiutendaji

Mfumo huo hukinzana na mifumo ya dini nyingine na mifumo ya kiserikali kimuundo na kiutendaji

Hivyo kujaribu kuitekeleza katiba ya kiislam kwenye nchi yenye katiba tofauti na Qur'an ni sawa na kufanya mapinduzi au uhaini

Narudia kusema dini ni mfumo wa kijamaa ambao unaweza kutekelezwa kwenye jamii inayouamini mfumo huo otherwise ni Vita
 
Waarabu (waislamu) hawana akili ya kuchimba mafuta. Hilo unalijua, wangekuwa wana akili leo hii duniani kungekuwa na hata na social media zimetengenezwa na waislamu (waarabu). Hivyo viwanda unavyosema, waislamu (waarabu) hawana akili ya kutengeneza mitambo ya kutengeneza nguo😁😁😁😁
China kuna waislamu (idadi ndogo) kwahiyo hawana akili ya kutengeneza bidhaa zenye akili.
Waarabu (waislamu) wanaakili
1. Kutumia sharia
2. Kutengeneza tende
3. Kusoma Quran na kuitunza
4. Kukuita wewe kafiri hata kukua kutetea dini ya kiislamu
5. Kufundisha elimu ya madrasa
6. Kuchimba kisima cha kujitawazia
7. Kutengeneza mkojo wa ngamia
8. Kuhiji Macca
9. Kuamka saa 9 kula daku
Ukitaka kujua kuwa waislamu (waarabu) hawana akili, hapo ulipo usitumie bidhaa au vitu vilivyotengenezwa kwenye nchi za makafiri. Tuone utabakiwa na nini tena ikiwezekana vitupe anza sasa hivi😀😀😀😀
Una bwabwaja tu....tende inalimwa juha wewee haitengenezwi,tafuta pesa uenda ukafanya utalii Brunei achana na apo Dubai afu uje ulete pumba zako.

Au Google Tu Brune.

Afu apo ulipo ukute umekamata kopo la maji mzalishaji huyohuyo muislam au umeshindia mkate wa mzee Barkhresa...
 
Umecopy na kupastee mzee Baba....hutaki ata kuumiza kichwa,wa bongo bhna

Hizo sifa unazosema za wahab ndo sifa za kila muislam anatakiwa awe nazo...

Nyongeza mashia sio waislam
Kweli hapo kwenye kuzuru makaburi na kuombea Maiti kwa Muislam haifai kabisa, SHIRKI hiyo.
 
Wahhabi ni wafuasi wa harakati ya Wahhabism, ambayo ni mtazamo wa Uislamu wa Sunni ulioanzishwa na Muhammad ibn Abd al-Wahhab mnamo karne ya 18 katika eneo la Najd, Saudi Arabia. Harakati hii ilisisitiza kurudi kwenye Uislamu wa mwanzo, ikiwa na msimamo mkali dhidi ya kile walichokiona kama uzushi (bid'ah) na ushirikina (shirk).

Historia ya Wahhabi (Wahhabism)

1. Mwanzilishi: Muhammad ibn Abd al-Wahhab (1703–1792)

  • Alizaliwa Najd, katika eneo ambalo sasa ni Saudi Arabia.
  • Alijifunza Uislamu na kuathiriwa na mafundisho ya Ibn Taymiyyah, msomi wa karne ya 13 aliyepinga desturi nyingi zisizo katika Qur’an na Hadith.
  • Alianzisha harakati ya kidini iliyoitwa "Muwahhidun" lakini baadaye ikajulikana kama Wahhabism.

2. Ushirikiano na Familia ya Saud (1744)

  • Muhammad ibn Abd al-Wahhab alifanya makubaliano na Muhammad ibn Saud, kiongozi wa ukoo wa Saud.
  • Ibn Saud alikubali kutekeleza mafundisho ya Wahhabi kwa nguvu ya kijeshi, na kwa pamoja waliasisi dola la kwanza la Saudia.
  • Muungano huu ulisababisha vita vingi dhidi ya tawala za Kiarabu zilizoonekana kuwa na uzushi.

3. Uenezaji na Mapambano (Karne ya 18–19)

  • Wahhabi walifanya mashambulizi na kuchukua miji kama Riyadh na sehemu za Hijaz, ikiwa ni pamoja na Makka na Madina.
  • Mnamo 1802, Wahhabi walishambulia Karbala (mji mtakatifu wa Shia), wakaharibu maeneo matakatifu ya Shia na kuua maelfu ya watu.
  • Mnamo 1818, Dola ya Kiosmani (Ottoman Empire) iliwashinda kwa msaada wa Misri na kuharibu utawala wao wa kwanza.

4. Kurejea kwa Wahhabi na Kuundwa kwa Saudi Arabia (1902–1932)

  • Mwaka 1902, Abdulaziz Ibn Saud, kiongozi wa ukoo wa Saud, alianza tena harakati za Wahhabi.
  • Kufikia 1932, aliunda Ufalme wa Saudi Arabia, na Wahhabism ikawa itikadi rasmi ya nchi hiyo.

5. Athari za Kisasa na Mzozo wa Kimataifa

  • Saudi Arabia imekuwa mfadhili mkubwa wa Wahhabism ulimwenguni, ikijenga misikiti na shule za Kiislamu (madrasa) zinazofuata mafundisho haya.
  • Wahhabism imekuwa na athari kubwa kwa makundi kama Salafism, lakini pia imekosolewa kwa msimamo wake mkali dhidi ya madhehebu mengine ya Kiislamu kama Shia, na hata baadhi ya Waislamu wa Sunni wanaofuata Sufi na desturi za kitamaduni.
  • Harakati za kisasa kama Al-Qaeda na ISIS zimehusishwa na tafsiri kali za Wahhabism, ingawa Saudi Arabia yenyewe inapinga makundi haya.

Sifa Kuu za Wahhabism

✅ Kusisitiza Tawhid (umoja wa Mungu) na kupinga ushirikina.
✅ Kupinga desturi kama kuomba kwa maiti, kuzuru makaburi, na sherehe za kidini.
✅ Kufuata Qur’an na Hadith kwa tafsiri iliyo kinyume na bid’ah (uzushi).
✅ Kuhamasisha sheria kali za Kiislamu (Sharia).
✅ Kuwa na uhusiano wa karibu na ukoo wa Saud tangu kuundwa kwa Saudi Arabia.
Ha
Wahhabism imekuwa harakati yenye mvutano mkubwa ndani ya Uislamu na duniani. Ingawa imechangia kuanzishwa kwa Saudi Arabia, pia imekosolewa kwa msimamo wake mkali unaolenga kurejesha Uislamu wa mwanzo kwa kuondoa desturi ambazo wengi wanaziona kuwa sehemu ya utamaduni wa Kiislamu.
Uislam ni ushirikina mtupu tu
 
Hiyo Algebra mbona hao waarabu hawajatumia kutengeneza vitu au bidhaa?
Ni sawa na wewe hapo kulikuwa hakuna gari kabisa. Sasa wewe ukatengeneza gari ya udongo, mvua ikinyesha ina bomoka. Akatokea mwingine akatengeneza gari ambayo unayoijua sasa. Wewe ukabaki, kuwa mwanzilishi wa gari la udongo. Wewe gari lako la udongo limekusaidia nini?
Tuje kweny Algebra, waislamu wametumia Algebra kutengeneza nn?
Hao mnaowaita makafiri wakiamua leo wawakataze kutumia vitu au bidhaa zao, unafikiri wewe muislamu utabaki na nn hapo?

Tatizo unafikiri hizo nchi zote za kiarabu na kiislamu hawatengenezi chochote, Hata Tanzania tunatengeneza vitu vingi tunawauzia huko ulaya na Marekani
 
Uislam ni ushirikina mtupu tu
Jamaa mbishi ushirikina mkubwa ni kusema Yesu , mtu aliyezaliwa na binadamu na kula na kunya kama wewe kuwa ni Mungu.

hivi wewe jamaa mbishi nikikuita Nguruwe utafurahi ??? na utaona ni sawa??

na ndio maana Mwenyezi mungu akasema kuwa anaweza kukusamehe makosa yote isipokuwa hilo kosa la kumshirikisha na kiumbe anayekunya
 
Waarabu (waislamu) hawana akili ya kuchimba mafuta. Hilo unalijua, wangekuwa wana akili leo hii duniani kungekuwa na hata na social media zimetengenezwa na waislamu (waarabu). Hivyo viwanda unavyosema, waislamu (waarabu) hawana akili ya kutengeneza mitambo ya kutengeneza nguo😁😁😁😁
China kuna waislamu (idadi ndogo) kwahiyo hawana akili ya kutengeneza bidhaa zenye akili.
Waarabu (waislamu) wanaakili
1. Kutumia sharia
2. Kutengeneza tende
3. Kusoma Quran na kuitunza
4. Kukuita wewe kafiri hata kukua kutetea dini ya kiislamu
5. Kufundisha elimu ya madrasa
6. Kuchimba kisima cha kujitawazia
7. Kutengeneza mkojo wa ngamia
8. Kuhiji Macca
9. Kuamka saa 9 kula daku
Ukitaka kujua kuwa waislamu (waarabu) hawana akili, hapo ulipo usitumie bidhaa au vitu vilivyotengenezwa kwenye nchi za makafiri. Tuone utabakiwa na nini tena ikiwezekana vitupe anza sasa hivi😀😀😀😀
Unafikiri huko Ulaya hao wanaovumbuwa wengi ni nani ?? Tatizo hujaenda university za huko Ulaya na Marekani ukaona Professors wengi ni nani ??Waislamu na waarabu
 
Umecopy na kupastee mzee Baba....hutaki ata kuumiza kichwa,wa bongo bhna

Hizo sifa unazosema za wahab ndo sifa za kila muislam anatakiwa awe nazo...

Nyongeza mashia sio waislam
Toa hoja na dalili kuwa Mashia sio waislam ila wahhabi ndio
 
Wahhabi ni wafuasi wa harakati ya Wahhabism, ambayo ni mtazamo wa Uislamu wa Sunni ulioanzishwa na Muhammad ibn Abd al-Wahhab mnamo karne ya 18 katika eneo la Najd, Saudi Arabia. Harakati hii ilisisitiza kurudi kwenye Uislamu wa mwanzo, ikiwa na msimamo mkali dhidi ya kile walichokiona kama uzushi (bid'ah) na ushirikina (shirk).

Historia ya Wahhabi (Wahhabism)

1. Mwanzilishi: Muhammad ibn Abd al-Wahhab (1703–1792)

  • Alizaliwa Najd, katika eneo ambalo sasa ni Saudi Arabia.
  • Alijifunza Uislamu na kuathiriwa na mafundisho ya Ibn Taymiyyah, msomi wa karne ya 13 aliyepinga desturi nyingi zisizo katika Qur’an na Hadith.
  • Alianzisha harakati ya kidini iliyoitwa "Muwahhidun" lakini baadaye ikajulikana kama Wahhabism.

2. Ushirikiano na Familia ya Saud (1744)

  • Muhammad ibn Abd al-Wahhab alifanya makubaliano na Muhammad ibn Saud, kiongozi wa ukoo wa Saud.
  • Ibn Saud alikubali kutekeleza mafundisho ya Wahhabi kwa nguvu ya kijeshi, na kwa pamoja waliasisi dola la kwanza la Saudia.
  • Muungano huu ulisababisha vita vingi dhidi ya tawala za Kiarabu zilizoonekana kuwa na uzushi.

3. Uenezaji na Mapambano (Karne ya 18–19)

  • Wahhabi walifanya mashambulizi na kuchukua miji kama Riyadh na sehemu za Hijaz, ikiwa ni pamoja na Makka na Madina.
  • Mnamo 1802, Wahhabi walishambulia Karbala (mji mtakatifu wa Shia), wakaharibu maeneo matakatifu ya Shia na kuua maelfu ya watu.
  • Mnamo 1818, Dola ya Kiosmani (Ottoman Empire) iliwashinda kwa msaada wa Misri na kuharibu utawala wao wa kwanza.

4. Kurejea kwa Wahhabi na Kuundwa kwa Saudi Arabia (1902–1932)

  • Mwaka 1902, Abdulaziz Ibn Saud, kiongozi wa ukoo wa Saud, alianza tena harakati za Wahhabi.
  • Kufikia 1932, aliunda Ufalme wa Saudi Arabia, na Wahhabism ikawa itikadi rasmi ya nchi hiyo.

5. Athari za Kisasa na Mzozo wa Kimataifa

  • Saudi Arabia imekuwa mfadhili mkubwa wa Wahhabism ulimwenguni, ikijenga misikiti na shule za Kiislamu (madrasa) zinazofuata mafundisho haya.
  • Wahhabism imekuwa na athari kubwa kwa makundi kama Salafism, lakini pia imekosolewa kwa msimamo wake mkali dhidi ya madhehebu mengine ya Kiislamu kama Shia, na hata baadhi ya Waislamu wa Sunni wanaofuata Sufi na desturi za kitamaduni.
  • Harakati za kisasa kama Al-Qaeda na ISIS zimehusishwa na tafsiri kali za Wahhabism, ingawa Saudi Arabia yenyewe inapinga makundi haya.

Sifa Kuu za Wahhabism

✅ Kusisitiza Tawhid (umoja wa Mungu) na kupinga ushirikina.
✅ Kupinga desturi kama kuomba kwa maiti, kuzuru makaburi, na sherehe za kidini.
✅ Kufuata Qur’an na Hadith kwa tafsiri iliyo kinyume na bid’ah (uzushi).
✅ Kuhamasisha sheria kali za Kiislamu (Sharia).
✅ Kuwa na uhusiano wa karibu na ukoo wa Saud tangu kuundwa kwa Saudi Arabia.
Ha
Wahhabism imekuwa harakati yenye mvutano mkubwa ndani ya Uislamu na duniani. Ingawa imechangia kuanzishwa kwa Saudi Arabia, pia imekosolewa kwa msimamo wake mkali unaolenga kurejesha Uislamu wa mwanzo kwa kuondoa desturi ambazo wengi wanaziona kuwa sehemu ya utamaduni wa Kiislamu.
Historia nzuri
 
Wamoja ,hapo hapo unasema tofauti ni ndogo

Washia na wasuni Hadi wanauana unasema tofaut ni ndogo

Salafi na wahhabi wanatoleana maneno makali na wote ni wasunni ,unasema tofaut ni ndogo

Mimi nakaa na wahabi na masufi jinsi wanavyoitanq na kuchukiana kisa kupishana mafundisho
Nitajie Sehemu nyingine ambapo wasunni na hao washia wanauana tofauti na uarabuni huko
 
Pamoja na hayo. Waislamu duniani wanamchango gani kwenye dunia? Bidhaa 99.9%, mifumo, teknolojia, siasa na elimu tunatumia za makafiri
Kiufupi sioni mchango wa waarabu kwenye hii dunia maana hadi kanzu, baibui na nikabu vitambaa vyake vinatoka China (waabudu dragon)
Mafuta na tende!
 
Magalatia nyie ni wehu matendo ya waarabu baadhi na ujinga wao ndio mnayaunganisha na dini yetu pendwa, tuko 2billioni hao waarabu na fujo zao hawazidi milioni 300. Iweje wawe kioo cha watu 1.8b? hapo either nyie wagalatia mmechizi au ujinga tu uliowajaa na kushadadia msoyajua na kujivika ujuaji
 
Back
Top Bottom