Wahindi na Bunge Kurushwa Live!

Wahindi na Bunge Kurushwa Live!

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Katika muendelezo wangu wa kufanya Utafiti Binafsi wa kuweza kupata au kujaribu kupata majibu ya kwa nini sisi tuko nyuma sana kimaendeleo kulinganisha na jamii nyingine hapa Duniani, nimegundua kifuatacho!

Nimejaribu kufanya Jaribio dogo la kuzunguka kwenye Maduka ya Wahindi na sehemu zao za Uzalishaji, nilichoona ni kwamba hakuna Duka hata moja nililoingia la Muhindi au Ofisi au kiwanda cha Muhindi ambapo nimekuta kuna TV na wanaangalia Bunge moja kwa moja (live), lkn nilipo jaribu kuzunguka kwenye Ofisi na sehemu za shughuli za Waswahili wenzangu nimekuta wafanyakazi wako makini na kuangalia Bunge live badala ya kufanya kazi na kuongeza kipato chao!

Nilichojifunza ni kwamba sisi tuko maskini kwa sababu hatupendi na hatuthamini kazi, hawa Wahindi ktk Nchi nzima wako chini ya 300, 000 (laki tatu) katika Nchi ya watu zaidi ya milioni 40, lakini wanamiliki zaidi ya asilimia 85% ya Uchumi wa Tanzania, Hapo tuna tatizo!

Serikali piga Marufuku Bunge Kuonyeshwa Muda wa Kazi, Ili tuweze Kufanya kazi kwa Bidii na Umakini na tuweze kushindana na Wahindi na jamii nyingine Duniani!
 
Kafie mbele huko!! kazi yako ya kufagia kwa wahindi isitupe taabu... Tangu lini Mhindi akaipenda Tanzania? Asilimia kubwa ya hao uliowataja wanapassport zaidi ya tatu... Katiba ni kwa maslahi ya watanzania sio wahindi...
 
Lakini usichojua ni kwamba wanamiliki zaidi ya asilimia 85 (>85%) ya Uchumi wetu, kwa maana nyingine wewe hauwezi hata kujenga nyumba bila ya wao kukuzia kitu, hauwezi hata kuvua Samaki bila ya wao kukuuzia Nyavu, hauwezi kununua aspirini Dukani bila ya wao kukuuzia, wakati wewe unapoteza muda tangu asubuhi kuangalia Bunge, wenzako wanachapa kazi na wanazidi kujiimarisha kiuchumi na kujiwekea mazingira mazuri pamoja na vizazi vyao vijavyo! Ndio Ujumbe wangu, fikiria hilo!

We endelea kupalilia kibarua chako kwa wahindi.. suala la Katiba ya Tanzania tuachie sisi wazawa.. Hao wahindi ndiyo wakwepa kodi wakubwa nchini...
 
Mkuu umekosa kazi za kufanya. Hii nchi imekuwa maskini tangu kuumbwa kwa ulimwengu na Bunge la Katiba limeanza leo tare 18 February; Kwa akili yako finyu unataka kutuaminisha GT kuwa kwa kutoangalia bunge la Katiba kwa hizo siku 70 tutaondoa umaskini ambao umekuwepo TZ hata kabla ya uhuru?
 
Lakini usichojua ni kwamba wanamiliki zaidi ya asilimia 85 (>85%) ya Uchumi wetu, kwa maana nyingine wewe hauwezi hata kujenga nyumba bila ya wao kukuzia kitu, hauwezi hata kuvua Samaki bila ya wao kukuuzia Nyavu, hauwezi kununua aspirini Dukani bila ya wao kukuuzia, wakati wewe unapoteza muda tangu asubuhi kuangalia Bunge, wenzako wanachapa kazi na wanazidi kujiimarisha kiuchumi na kujiwekea mazingira mazuri pamoja na vizazi vyao vijavyo! Ndio Ujumbe wangu, fikiria hilo!

Asubuhi kwenye post fulani nilikuahidi kukupeleka MIlembe,tiketi iko tayari jiandae.
 
Matangazo ya tv yameanza lini Tanzania hasa bara? Maendeleo yalikuwaje kabla ya kuanza kupatika kwa matangazo, nadhani umetumwa kupima upepo reaction itakuwaje iwapo hawatarusha Matangazo naona toka mchana umeng'ang'ania suala hili. Wambie wasithubutu kutokuonyesha live, kupata habari ni haki yetu ww unaekereka usitazame.
 
acha ubwege wewe reserch umefanyia wapi? hakuna ofisi haina tv hapa mjini iwe ya mzungu mhindi au mswahili mbona bank zile za wazungu hata barclays zina tv na wameendelea? zuzu wewe
 
kwel wewe ni kijakaz wa wahindi ndo mapaka umekuwa na mahaba kiasi hicho? hata kama unapalilia kazi angalau uwe basi na utaifa....so nawe kuwa mafagiz wa wahindi unajiona kama mhidni? umelewa nini? bagia wanazobakiza ?pole sana maana umetoka msalani kuaharisha mabaki ya bagia na kachori za wahindi umerud kuja kutapika humu jamii forums
 
wewe ndio unaleta UONGO, ni Tawi gani la Barclays Wafanyakazi wanaangalia Bunge live? na ni ofisi gani au Duka gani hilo la Muhindi wanaangalia Bunge live Muda wa kazi? Nitajie tafadhali, niende kesho fasta, kwa maana huu ni utafiti wangu binafsi!

kwel wewe ni kijakaz wa wahindi ndo mapaka umekuwa na mahaba kiasi hicho? hata kama unapalilia kazi angalau uwe basi na utaifa....so nawe kuwa mafagiz wa wahindi unajiona kama mhidni? umelewa nini? bagia wanazobakiza ?pole sana maana umetoka msalani kuaharisha mabaki ya bagia na kachori za wahindi umerud kuja kutapika humu jamii forums

Lakini ujue wanamiliki > 85% ya Uchumi wetu, bila wao hata chupi yako huwezi nunua, achilia mahitaji mengine ya muhimu!
 
Mkuu utafiti wako ulijikita maeneo gani ya nchi.
 
Nilichojifunza ni kwamba sisi tuko maskini kwa sababu hatupendi na hatuthamini kazi, hawa Wahindi ktk Nchi nzima wako chini ya 300, 000 (laki tatu) katika Nchi ya watu zaidi ya milioni 40, lakini wanamiliki zaidi ya asilimia 85% ya Uchumi wa Tanzania, Hapo tuna tatizo!
!
Huo utafiti wako umeufanyia wapi ndugu yangu? Nina mashaka na hizo figure zako..
 
Unataka wahindi wakutengenezee katiba au?

Mbona tayari wanatutengenezea hii katiba au hujawaona leo bungeni?kuna mmoja ananywere nyeupe pe cjui karne gani nasi tutakuwa kwenye bunge la India
 
Mkuu utafiti wako ulijikita maeneo gani ya nchi.

Kwanza kabla ya kujibu, neno Mkuu ni la jinsia gani? linatumika kote kote au ni la jinsia moja?
 
Huo utafiti wako umeufanyia wapi ndugu yangu? Nina mashaka na hizo figure zako..

Kwa kuanzia soma hapo chini kwenye wikipedia, kwanza kulingana na wikipedia hata idadi yangu nimezidisha zaidi ya mara 3! Ukishamaliza hapo kama bado hujaridhika tunaweza kuendelea!

http://en.wikipedia.org/wiki/Indians_in_Tanzania

Back
Top Bottom