zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,075
- 9,263
kweli wewe ni mburulaKwanza kabla ya kujibu, neno Mkuu ni la jinsia gani? linatumika kote kote au ni la jinsia moja?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli wewe ni mburulaKwanza kabla ya kujibu, neno Mkuu ni la jinsia gani? linatumika kote kote au ni la jinsia moja?
tatizo la Tanzania wala si CCM ama CDM, tatizo la Tanzania ni watanzania...WAtanzania wanaendekeza masihara masihara kwenye kila jambo..Maisha bora hayawezi kuja kuangalia TV wakati wa kazi
Mleta uzi alitakiwa kuwapongeza watz kwa kuwa na mwamko wa kufuatilia msitakabali wa taifa lao.
Na wahindi hushinda kutwa nzima kwenye biashara zao,sisi hujiona mabosi na kuranda randa mtaani huku biashra ikiwa haina mmilikiKatika muendelezo wangu wa kufanya Utafiti Binafsi wa kuweza kupata au kujaribu kupata majibu ya kwa nini sisi tuko nyuma sana kimaendeleo kulinganisha na jamii nyingine hapa Duniani, nimegundua kifuatacho!
Nimejaribu kufanya Jaribio dogo la kuzunguka kwenye Maduka ya Wahindi na sehemu zao za Uzalishaji, nilichoona ni kwamba hakuna Duka hata moja nililoingia la Muhindi au Ofisi au kiwanda cha Muhindi ambapo nimekuta kuna TV na wanaangalia Bunge moja kwa moja (live), lkn nilipo jaribu kuzunguka kwenye Ofisi na sehemu za shughuli za Waswahili wenzangu nimekuta wafanyakazi wako makini na kuangalia Bunge live badala ya kufanya kazi na kuongeza kipato chao!
Nilichojifunza ni kwamba sisi tuko maskini kwa sababu hatupendi na hatuthamini kazi, hawa Wahindi ktk Nchi nzima wako chini ya 300, 000 (laki tatu) katika Nchi ya watu zaidi ya milioni 40, lakini wanamiliki zaidi ya asilimia 85% ya Uchumi wa Tanzania, Hapo tuna tatizo!
Serikali piga Marufuku Bunge Kuonyeshwa Muda wa Kazi, Ili tuweze Kufanya kazi kwa Bidii na Umakini na tuweze kushindana na Wahindi na jamii nyingine Duniani!
Viongozi wote muhimu wako kwenye "speed dials" za wafanyabiashara wa kihindi.Huo ni uzoefu wangu mimi personal.Sasa watizame bunge ili iweje.Unless uwe unazungumzia kuhusu kuangalia tv muda wa kazi.Kama ni break time lunch room sioni tabu.
Ni sawa tu,lakini serikali hiyo hiyo imo mifukoni mwa wahindi.Na hiyo ndio Hoja yangu kubwa, kwamba SIO Sahihi kwa Serikali kuruhusu watu kuangalia Bunge live Muda wa kazi, inadhoofisha Ufanisi!
Hivi asilimia 98 wanaweza kupewa dili la pesa za akaunti uswisi?Ama hujafuatilia yale just kwa kuanzia kama huna habari?Sasa ni kwanini? Kwanini isiwe mifukoni mwetu kama sisi ni zaidi ya asilimia 98 (98%) ya Watu wote waishio nchini mwetu?
Kijakazi II, nenda Barclays Alfa House Branch...utakuta TV, na hata bunge la leo lilionyeshwa katika runinga zao! tafiti umefanyia wapi na wapi kama anavyouliza mkuu Ritz?
Bunge hili ni kwa ajili ya watanzania, na katiba inayotarajiwa kutungwa ni kwa ajili ya watanzania! Ni bunge la historia katika nchi yetu.....na hao wahindi na ukwepaji kodi wao, na janja yao kuwahonga viongozi wetu ni moja ya ajenda ndani ya katiba!
Waambie kabisaaa hao wahindi wako, wajitayarishe kuja kuishi na sisi manzese maana huko town wanakoishi soon tutajichanganya nao!
Wewe kijambio kinakuwasha siyo bure.Kwa kuanzia soma hapo chini kwenye wikipedia, kwanza kulingana na wikipedia hata idadi yangu nimezidisha zaidi ya mara 3! Ukishamaliza hapo kama bado hujaridhika tunaweza kuendelea!
http://en.wikipedia.org/wiki/Indians_in_Tanzania
Mkuu umekosa kazi za kufanya. Hii nchi imekuwa maskini tangu kuumbwa kwa ulimwengu na Bunge la Katiba limeanza leo tare 18 February; Kwa akili yako finyu unataka kutuaminisha GT kuwa kwa kutoangalia bunge la Katiba kwa hizo siku 70 tutaondoa umaskini ambao umekuwepo TZ hata kabla ya uhuru?