Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Mkuu jenga hoja nimekuuliza utafiti wako umeufanyia wapi?Kwanza kabla ya kujibu, neno Mkuu ni la jinsia gani? linatumika kote kote au ni la jinsia moja?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu jenga hoja nimekuuliza utafiti wako umeufanyia wapi?Kwanza kabla ya kujibu, neno Mkuu ni la jinsia gani? linatumika kote kote au ni la jinsia moja?
Kwa kuanzia soma hapo chini kwenye wikipedia, kwanza kulingana na wikipedia hata idadi yangu nimezidisha zaidi ya mara 3! Ukishamaliza hapo kama bado hujaridhika tunaweza kuendelea!
http://en.wikipedia.org/wiki/Indians_in_Tanzania
Mkuu jenga hoja nimekuuliza utafiti wako umeufanyia wapi?
Hivi unaielewa hiyo wikipedia vizuri au basi umeingia ukakutana na hizo takwimu ukaridhika.., wikipedia inapata contents toka kwa users kama mimi na wewe, yawezekana zikawa na ukweli lakini pia zaweza kuwa za kupotosha. Hata hivyo wewe umesema umefanya utafiti wako mwenyewe ambao ningependa kujua umeufanyia wapi.
Lakini usichojua ni kwamba wanamiliki zaidi ya asilimia 85 (>85%) ya Uchumi wetu, kwa maana nyingine wewe hauwezi hata kujenga nyumba bila ya wao kukuzia kitu, hauwezi hata kuvua Samaki bila ya wao kukuuzia Nyavu, hauwezi kununua aspirini Dukani bila ya wao kukuuzia, wakati wewe unapoteza muda tangu asubuhi kuangalia Bunge, wenzako wanachapa kazi na wanazidi kujiimarisha kiuchumi na kujiwekea mazingira mazuri pamoja na vizazi vyao vijavyo! Ndio Ujumbe wangu, fikiria hilo!
Mkuu jenga hoja nimekuuliza utafiti wako umeufanyia wapi?
unataka kutuambia nini hapa hii katiba ni ya miaka 50 ijayo halafu yetu watawaliwa
ni muhimu kwetu kufuatilia mpango mzima wa katiba ili tujitambue
ACHA KUTUKATISHA TAMAA
Kwanza kabla ya kujibu, neno Mkuu ni la jinsia gani? linatumika kote kote au ni la jinsia moja?
Kafie mbele huko!! kazi yako ya kufagia kwa wahindi isitupe taabu... Tangu lini Mhindi akaipenda Tanzania? Asilimia kubwa ya hao uliowataja wanapassport zaidi ya tatu... Katiba ni kwa maslahi ya watanzania sio wahindi...
Acha ujinga wewe!Wakati unazurula kuona nani anaangalia Tv ulikuwa unazalisha nini?
kafie mbele huko!! Kazi yako ya kufagia kwa wahindi isitupe taabu... Tangu lini mhindi akaipenda tanzania? Asilimia kubwa ya hao uliowataja wanapassport zaidi ya tatu... Katiba ni kwa maslahi ya watanzania sio wahindi...