Wahindi, Waarabu na wasomali wanafanyaje hadi watoto wanakuwa waaminifu kurithishwa biashara, kuwa na utulivu kwenye biashara na nidhamu ya pesa?

Wahindi, Waarabu na wasomali wanafanyaje hadi watoto wanakuwa waaminifu kurithishwa biashara, kuwa na utulivu kwenye biashara na nidhamu ya pesa?

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Hata wao wapo wanaofanya biashara nyeusi, mabasi ni ya kutakatisha pesa, lakini still unakuta wao wametuzidi kwenye kuendeleza biashara kwa vizazi tofauti na sisi biashara nyingi baba akifariki watoto inavidi waanza kuzoea ugali maharage.

waafrika tumekuwa na shida kubwa kwenye kurithisha biashara kwa kutowaamini watoto ,kwenye kukosa utulivu, kufuja pesa za biashara kufanyia starehe, n.k.
 
Ukitaka watoto wawe na nidhamu ya fedha katika biashara basi lazima uwaprogram tokea mapema wakiwa watoto.

Kama ambavyo mzazi unawaprogram watoto katika jambo fulani na likawa tabia yao basi na kwwnye nidhamu ya fedha inabidi uwaprogram pia.
 
Wanazaliana mapema . Na wanaishi pamoja miaka yote..

Msomali ama mwarabu wa miaka 41 ni babu tayari ameshapata mjukuu.
 
Unajua sisi waafrika tumeaminishwa kwamba elimu ya mkoloni(darasani) ndo kilak2 so hata ukikuta mshua wakiafrica katoboa kupitia biashara hua hataki watoto wake wazoee biashara akihofia eti watazoea pesa na hawatasoma shule 😃 na saa zngne ukute uyo mshua nae katoboa biashara kwa njia za kupuliza🙂 sasa yeye anakua hataki wanae wapitie njia kama yake sababu anajua tabu apatayo so heri wakomae kwenye elimu waajiriwe uko baadae
 
Back
Top Bottom