Hata wao wapo wanaofanya biashara nyeusi, mabasi ni ya kutakatisha pesa, lakini still unakuta wao wametuzidi kwenye kuendeleza biashara kwa vizazi tofauti na sisi biashara nyingi baba akifariki watoto inavidi waanza kuzoea ugali maharage.
waafrika tumekuwa na shida kubwa kwenye kurithisha biashara kwa kutowaamini watoto ,kwenye kukosa utulivu, kufuja pesa za biashara kufanyia starehe, n.k.
waafrika tumekuwa na shida kubwa kwenye kurithisha biashara kwa kutowaamini watoto ,kwenye kukosa utulivu, kufuja pesa za biashara kufanyia starehe, n.k.