The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 1,497
- 2,681
Hawa vijana wa singeli uenda bongo ndio tuna vijana wa hovyo kutwa kutumia bando kuangalia ujinga mda hauendi mtu analia connection connection connection haikufuati umelala kitandani ukiwa unapambana bongo usiache na kupambana nje pia nje hapa hitaji connection ili kupata kazi kule ni cv na confidence yako tu vyeti kafungie vitumbua, umambo ya connection sijui kuvua chupi*** ni huku bongo wenzetu walishatoka huku.
Zipo kozi fupi fupi unapata skilll inakutoa
Zipo kozi fupi fupi unapata skilll inakutoa