The Spirit of Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 7, 2020
- 1,045
- 1,868
Kuna jamaa namjua amesoma shule za kata,hakuwahi kumuona mwalimu physics toka form 1 hadi form 4,hakuwahi kwenda tuition,ila kwa sasa ana masters anafundisha chuo kikuu,kichwani yuko njema unaweza kujua amesoma hizi za vipaji.Huu ni wivu kwa vipanga... Kwani waliosoma kata adi saiv wamevumbua nini zaidi ya ule uzi wa kula tunda kimasihara..?
Naamini wale jamaa wanaoitwa vipaji maalumu hawana chochote zaidi ya kukariri,watuambie wana vipaji gani hapa?,