Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namie nilikuwepo muda huo huo. So ilikuwa around 2004 to 2007 ndani ya miaka iyo iyo namie nilikuwepo miaka iyo iyo. Hamjasoma akina ,Basi acha nitaanza kutaja mawoso fulani na waboyzia. Ila njoo pm tupige story basiHujanibambia bana 🤣🤣,mie nimesoma na Joshua nasari alokuwa mbunge wa meru,tulikuwa intake moja,yeye akiwa boys mie girls
Unajua kinachofanya ivyo. Hapo Kuna ego na envy zinafanya kazi,yaani hutaki ego yako iwe down,ama yao iwe juu. Umecheki matokeo ya mwaka huu fomu walioenda huko wana ufaulu gani.Special schools ilikuwa zamani, siku hizi hazivumi tena, hata watoto wanaomaliza hizo shule, wakija vyuoni wako kawaida sana, hata reasoning ability, IQ level zao hakuna kabisa tofauti na shule za kawaida, hivyo special schools ilikuwa zamani.
Si alikuwa na rafikiye Faraji,wakiimba imba nyimbo zile za kishule. Na Kuna jamaa mmoja alikuwa pcm alikuwa anatema mno hip hopHujanibambia bana 🤣🤣,mie nimesoma na Joshua nasari alokuwa mbunge wa meru,tulikuwa intake moja,yeye akiwa boys mie girls
Haya bhana....HEBU TUWEKE REKODI VIZURI,HAKUNA SHULE ZA VIPAJI MAALUM NCHI HII ILA KUNA SHULE ZA UFAULU WA JUU.
UNAPOZUNGUMZIA SHULE YA VIPAJI MAALUM HICHO NI KITU KINGINE KQBISA,KUMBUKA UFAULU WA JUU SIYO VIPAJI MAALUM SABABU MTU ANAWEZA KUWA ANA UFAULU WA JUU ILA HANA KIPAO MAALUM
🤣🤣Unamjua faraji lol,usijekuwa ukawa wanijua ,nasari mtoto wa mchungaji mla ngeba🤣ila alikuwa anachana vibaya🤣walikuwa na group lao sijui walikuwa wanajiita nan vile,hiyo ndo ilikuwa team toka Kanda ya kaskazin kuwakilisha Tabora skulSi alikuwa na rafikiye Faraji,wakiimba imba nyimbo zile za kishule. Na Kuna jamaa mmoja alikuwa pcm alikuwa anatema mno hip hop
Hahahah usiwataje bana tulikuwa tunafahamiana manake tulikuwa wachache🤣🤣🏃Namie nilikuwepo muda huo huo. So ilikuwa around 2004 to 2007 ndani ya miaka iyo iyo namie nilikuwepo miaka iyo iyo. Hamjasoma akina ,Basi acha nitaanza kutaja mawoso fulani na waboyzia. Ila njoo pm tupige story basi
Acha WivuZilikuwa sifa za kijinga tuuu. , Unaona kuwa unasoma ilboru , weru weru eti ya vipanga kumbe sifa tuuu za kisenge ,
kama hivi hiv vyuoni tumekutana , supplementary kama zote tumezipata ...now ni jobless era....
Hence. Sifa za kijinga tuu. Tofauti ilikuwa ni Serikali kuwekeza resources nyingi kwenye hizo shule...............na kuwekeza kiduchu shule hizu tulizosomaaa.....
Ndo maana nimesema, tumezungukwa na vilaza wengi kama wewe.Acha sifa wewe umelitendea nini hiii taifa,,km sio mwalimu hakuna ulicholitendea hili taifa
CSEE 2013 NYEGEZI SEMINARY. DIV.1-15Nakuona Division 0
Kwahiyo upo tiaraeiNami nimesoma Tabora girls aka Warsaw advanced level na sikusota mtaani after graduation,nikapiga interview leo hii niko govt naisaidia serikali yangu kukusanya mapato 🙏
📌🙌Wabongo wanafurahi sana kuona mtu aliyekua vizuri darasani kachapwa na maisha. Hakuna uchawi zaidi ya huu
Natumaini mwajiri wako anajivunia uamuzi wake!Mimi nilisoma Tabora boys advanced level leo hii naona umuhimu mkubwa wa kusoma shule za vipaji maana nilipata kazi kirahisi sana baada ya mwajiri wangu kuona kuwa nimesoma hiyo shule.
Hongera sanaNami nimesoma Tabora girls aka Warsaw advanced level na sikusota mtaani after graduation,nikapiga interview leo hii niko govt naisaidia serikali yangu kukusanya mapato 🙏
Unaweza isaidia direct or indirect, mfano umesomahuko naukaajiriwa means lazima utalipa kodi au unafanya biashara utafanya hivyo,km biashara ni yako hapo utaajili wenzio. .umeisaidia serikali kwenye kupunguza wasionakaziWanaongelea manufaa kwa taifa wewe unaongelea faida binafsi! Eti umesoma vipaji; duh!
Manufaa ya mtu mmoja mmoja, ndio manufaa ya Taifa. Taifa ni watu.Wanaongelea manufaa kwa taifa wewe unaongelea faida binafsi! Eti umesoma vipaji; duh!