Wahitimu shule za vipaji maalum

Wahitimu shule za vipaji maalum

Special schools ilikuwa zamani, siku hizi hazivumi tena, hata watoto wanaomaliza hizo shule, wakija vyuoni wako kawaida sana, hata reasoning ability, IQ level zao hakuna kabisa tofauti na shule za kawaida, hivyo special schools ilikuwa zamani.
 
Hujanibambia bana 🤣🤣,mie nimesoma na Joshua nasari alokuwa mbunge wa meru,tulikuwa intake moja,yeye akiwa boys mie girls
Namie nilikuwepo muda huo huo. So ilikuwa around 2004 to 2007 ndani ya miaka iyo iyo namie nilikuwepo miaka iyo iyo. Hamjasoma akina ,Basi acha nitaanza kutaja mawoso fulani na waboyzia. Ila njoo pm tupige story basi
 
Special schools ilikuwa zamani, siku hizi hazivumi tena, hata watoto wanaomaliza hizo shule, wakija vyuoni wako kawaida sana, hata reasoning ability, IQ level zao hakuna kabisa tofauti na shule za kawaida, hivyo special schools ilikuwa zamani.
Unajua kinachofanya ivyo. Hapo Kuna ego na envy zinafanya kazi,yaani hutaki ego yako iwe down,ama yao iwe juu. Umecheki matokeo ya mwaka huu fomu walioenda huko wana ufaulu gani.

Kiufupi tu elewa binadamu Ni Yule Yule Jana Leo na hata kesho. Hata hii kauli yako imeshaongewa kitambo kabla Yesu hajaja.


Sema bana nafurahi kusoma humans emotions.

Hapo subconscious iko kazini inakutuma unaongea vitu ambavyo vinafanya unafarijika.

Ndio Mana ukipita shule za kawaida mfano day ukasoma ukapata kitengo kikubwa kazini ama usisome ukaja ukapata pesa lazima utakuja kutoa maumivu yako hapa kuwa wale waliosoma Sana wako waapi siku hizi Mara nimekutana naye akachoka.

Ukipita kawaida ama kayumba ukifanikiwa ukubwani utayatoa ya moyoni mwako maumivu kuwa waliosoma vipaji wako wapi ama waliosoma private schools hawana kitu kazi ilikuwa Ni spoon-feeding.


Ni sawa na mtu Hana smart phone anayo kitochi anajitetea kuwa mie smart ya Nini Kama kupiga na kutuma sms nafanya so hayo mengine hayana umuhimu. Na wakati huyo mtu ukimpatia chaguo la zawadi la simu mbili atachagua smart na kuacha kitochi.


Ni sawa masikini akishindwa kupata hela utamsikia hela za ndagu,Mara Freemason,Mara fisadi akaiba,aliyesoma akizipata hela ambaye hajasoma anakimbilia kujifariji kuwa nyie mmesoma bana. Aliye Soma akipata hela anavimba anatukana kuwa nimeajiri wasomi wenye digrii mie Ni la Saba na hawana kitu kichwani yaani full kutoa uchafu wake kichwani wa yeye kukosa kichwani.

Hata Elon musk ameshaongea kuwa sijasoma havard Ila nimeajiri havard graduate so ni Kama anatoa emotional pain trauma mkuu.


Yaani brain zetu huwa Zina mechanism ya kutuficha tusiuone ukweli upende usipende.

Ukiwa huna hela ya daladala nafanya mazoezi.

Ukiwa nazo maisha haya mafupi nijitese na Nini kwani mazoezi sitakufa acha Nile zangu nyama hapa Ila Kama Hakuna acha Nile dagaa na mboga za majani kwanza Zina afya.


Hii sio kuwa Ni wewe hata mie Mana Ni mechanism fulani ya brain ya kutuepusha na mental and physical pains. Kama vile ukikanyaga msumari ama Moto unatupa ama kutoa mguu fasta mno kuliko uwezo wa kawaida wa kuwaza.

So huwa nafurahia kukiona practically ninachosoma.
 
HEBU TUWEKE REKODI VIZURI,HAKUNA SHULE ZA VIPAJI MAALUM NCHI HII ILA KUNA SHULE ZA UFAULU WA JUU.
UNAPOZUNGUMZIA SHULE YA VIPAJI MAALUM HICHO NI KITU KINGINE KQBISA,KUMBUKA UFAULU WA JUU SIYO VIPAJI MAALUM SABABU MTU ANAWEZA KUWA ANA UFAULU WA JUU ILA HANA KIPAO MAALUM
Haya bhana....
 
Si alikuwa na rafikiye Faraji,wakiimba imba nyimbo zile za kishule. Na Kuna jamaa mmoja alikuwa pcm alikuwa anatema mno hip hop
🤣🤣Unamjua faraji lol,usijekuwa ukawa wanijua ,nasari mtoto wa mchungaji mla ngeba🤣ila alikuwa anachana vibaya🤣walikuwa na group lao sijui walikuwa wanajiita nan vile,hiyo ndo ilikuwa team toka Kanda ya kaskazin kuwakilisha Tabora skul
 
Zilikuwa sifa za kijinga tuuu. , Unaona kuwa unasoma ilboru , weru weru eti ya vipanga kumbe sifa tuuu za kisenge ,

kama hivi hiv vyuoni tumekutana , supplementary kama zote tumezipata ...now ni jobless era....



Hence. Sifa za kijinga tuu. Tofauti ilikuwa ni Serikali kuwekeza resources nyingi kwenye hizo shule...............na kuwekeza kiduchu shule hizu tulizosomaaa.....
Acha Wivu
 
Nami nimesoma Tabora girls aka Warsaw advanced level na sikusota mtaani after graduation,nikapiga interview leo hii niko govt naisaidia serikali yangu kukusanya mapato 🙏
Kwahiyo upo tiaraei
 
Wabongo wanafurahi sana kuona mtu aliyekua vizuri darasani kachapwa na maisha. Hakuna uchawi zaidi ya huu
 
Mimi nilisoma Tabora boys advanced level leo hii naona umuhimu mkubwa wa kusoma shule za vipaji maana nilipata kazi kirahisi sana baada ya mwajiri wangu kuona kuwa nimesoma hiyo shule.
Natumaini mwajiri wako anajivunia uamuzi wake!
 
Nami nimesoma Tabora girls aka Warsaw advanced level na sikusota mtaani after graduation,nikapiga interview leo hii niko govt naisaidia serikali yangu kukusanya mapato 🙏
Hongera sana
 
Wanaongelea manufaa kwa taifa wewe unaongelea faida binafsi! Eti umesoma vipaji; duh!
Unaweza isaidia direct or indirect, mfano umesomahuko naukaajiriwa means lazima utalipa kodi au unafanya biashara utafanya hivyo,km biashara ni yako hapo utaajili wenzio. .umeisaidia serikali kwenye kupunguza wasionakazi
 
Wabongo sisi huwa tuna ujinga fulani hivi wa kujifanya tunajua kila kitu. Hivi mtu anavoona Elon Musk ni maarufu basi anahisi nd msomi peke ake lakini pale ana team ya watu waliomzidi uwezo wa kiakili mambo kibao tu. Wasomi sio macelebrity kwamba utajua kirahisi kila innovation zao au achievement zao mpaka uanze kujudge. Mfano mdogo mtu kama Gibson Kawago(Waga Pawa Pack) muhitimu wa Ilboru na D.i.t anafanya kazi mpaka na U.N na juzi kazungumza mpaka na Kamala kachagulia kati ya vijana wa africa watakao shiriki shindano la ugunduzi la kutunza mazingira. Na wasafi wanamtumia kutoa dondoo za kisayansi na technology mpya mbali mbali ila no body cares. Wanataka mpaka awe Elon Musk au Mark Zuckerberg. Huyo dogo ana 10k followers insta ila kasafiri nchi kibao kahojiwa mpaka na bbc ila anakuja mtu hapa analopoka kuwa hakuna kitu. Hospitali ya taifa ya muhimbili ni bora zaidi nchini na madaktari wengi ni zao la hizo shule ila watu wanahisi mpaka mtu awe Jeff Bezos.
 
Back
Top Bottom