Wahitimu shule za vipaji maalum

Kuna jamaa tumesoma naye primary, yeye akaja kuishia form 4, ila kimaisha katoboa.
Sasa Kuna siku akawa anatamba kwamba kusoma sio kutoka kimaisha, yeye hajasoma ila katoboa.
Watu wakamuuliza, mbona wewe unakazia kumpeleka mtoto wako shule za gharama wakati unajua kusoma sio kutoboa

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Ni namna fulani ya kuondoa maumivu take ya kutosoma ,pia anakaribia kutafuta Ile adequacy wakati Ile deep down in his core being ana feel Inadequacy ya kutokuwa na elimu. Mana akipata kesi mahakamani hapo mtu anataka kuichukua ardhi take nadhani atahaha kutafuta wasomi. Ujue binadamu ana asili ya kuumia pindi atakapo kitu na akakikosa, pia kutokana ego inamsukuma kutafuta kuonekana kuwa anaweza kuwa ama kuweza kumiliki kila kitu kwenye maisha. Uhuru wa fikra ama kuwa na moyo Safi Ni kukubali ukweli kuwa wewe umesoma sijasoma.
Nadhani unaona akina msukuma na kishimba wanatafuta adequacy wakati moyoni Wana feel inefficiencies, inadequacy
 
Nami nimesoma Tabora girls aka Warsaw advanced level na sikusota mtaani after graduation,nikapiga interview leo hii niko govt naisaidia serikali yangu kukusanya mapato 🙏
Afisa mapato au TRA?

Kuhusu kukaa mtaani:- sio ukweli kwamba Tabora girls ndio imekupa nafasi.
Maana hata Mimi sikukaa kitaa sanaa ila sikusoma Shule ya vipaji.

Na kazini kwangu@ofisi yangu yupo mtu ana GPA ya 4.6 UD halafu tunamuona wakawaida tu.

Mi huwa mpaka leo sijuagi umuhimu wa hizi Shule kubwa na ma GPA ya ajabu.

#YNWA
 
Unaweza isaidia direct or indirect, mfano umesomahuko naukaajiriwa means lazima utalipa kodi au unafanya biashara utafanya hivyo,km biashara ni yako hapo utaajili wenzio. .umeisaidia serikali kwenye kupunguza wasionakazi
Kwamba waliosoma za kata, haya hawayafanyi?

#YNWA
 
Kuwa na gpa ya 4.5 afe awe wa kawaida inategemea hiyo gpa aliipata vipi 🤣🤣wako vilaza wengi wameungaunga vyeti na supa gluu afu chuo ndo wakabutua hizo gpa,naongelea wale Wenye vyeti cream toka o level Hadi six🙏mapato yankusanywa sehemu sekta nyingi nchi hii,hata hospital wanakusanya mapato mkuu🤣
 
acha wivuu kijanaa... 😀 😀 😀 kufaulu vizuri kwa kukariri nacho ni kipaji
 

Scenario 1:-

La Saba tulifaulu watu tu mi nikiwa wa pili
Miaka ile kufaulu dili kweli, ukifaulu mtaa huu mpaka wa 6 jina lako linawika.

Form 2 nikapata wastani wa 78

Form 4 Division 1.10 (Maths A, Phy A, Bio A, Chem B ........)

Form 6 Division 2 (PCB) (Phy A,.....)

Sikuipenda medicine niitaka masomo ya biashara, kutokana na ukosefu wa ada nikapewa scholarship ya Diploma kutoka kwa jamaa mmoja hivi.

Diploma 3.8 (Distinction - Unclassified GPA)

Nikaenda kazini.
Nikaomba ruhusa ya kusoma.

Bachelor 4.3
Masters 3.2 (Distiction - Unclassified GPA).

Mwaka huu nikapata shavu la PhD ila hapana NGOJA NITAFUTE HELA KWANZA.

Mimi Niko kazini serikalini.

Kifupi mpaka Leo ukiniuliza faida ya kusoma na kupata mi marks mikubwaaa mpaka leo SIELEWI FAIDA YAKE.

Scenario 2:-
Nina mabint wawili.

Hiki ni kipindi cha likizo wamekuja kunisalimia.

Matokeo yao ya term hii.
1. Second born :- Darasa la kwanza ana A zote 4 (wanasoma masomo ma 4)
2. First born:- Yupo darasa la tatu, ana C, B, B, A, A, A, A

Huyu wa second born huwa anamtania mwenzake kuwa hajapata A zote hivyo "Hana akili Kama yeye"

Huwa nawaambia "Average is good"

Hakuna haja ya kujitesa darasani kutafuta Ma A halafu hayana Kazi yoyoteeeeee kwenye maisha.

Maana hata hivi vyoteee navyomiliki sio A zilinisaidia ni akili tu ya mtaani.

Scenario 3.
Tumezaliwa wa3
Our last born

La Saba alifeli
Form form Div 4
Certificate Accounts GPA ya kawaida sanaa
Diploma Accounts 2.8

Akapata Kazi private (muhasibu)

Bachelor Accounts 3.0

Kwasasa ni CPA (T)

Ana bonge la duka la vyombo Mbagala.

Sasa nikiwa namuangalia naona kabisa ana background ya ajabu ya Shule, kasoma Shule za kawaida sanaaa ila namuona anasonga kwa kasi.

QUESTION:-

Unadhani hizi A zetu huku ukubwani sina faida zozote?

#YNWA
 
A Zina faida inategemea unazitumia kwenye fani/kazi gani?Kama huyo muuza vyombo hahitaj elimu yoyote zaid ya kupenda ujasiriamal na kujua kuhesabu hela🤣tatizo kwa tz tunalazimisha kila mtu apate hayo maA's au mavyeti kwasababu ya fursa ya ajira kwa nchi zetu za kiafrika ni chache mno,ishu kubwa ni ulaj Wala hata sio hivyo vyeti mkuu.
 
Una maliza O'level 2013 mi Nina mwaka mmoja kazini..!!!

#YNWA
The general matter is , serikali ingekuwa ina supply resources both financial and material (including Human skilled labour to both parts of the country , na sio sehemu baadhi unakuta. Teachers wanapangiana topics za kufundisha na shule nyingine mwalimu mmoja masomo mawili for 2 or more classes ) same to other sectors including health....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…