KERO Wahitimu wa Chuo cha Uhasibu Arusha tunawekewa matokeo tofauti na yaliyopo kwenye TRANSCRIPT

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mimi ni Muhimu Chuo Kikuu kutoka Chuo Cha Uhasibu Arusha 2025 KERO yangu ni Kuna baadhi ya wahitimu wakienda kuchukua vyeti vyao unakuta matokeo yaliyoandikwa kwenye TRANSCRIPT ni Tofauti na Yale Mwanafunzi alipata kwenye mitihani yake.

Mfano alipata A transcript imeandikwa B+ katika module zaidi ya Moja jambo linalopelekea kushuka Kwa point katika kupanga GPA.

Ukienda ili ubadilishiwe waweke matokeo ya kweli wanakataa, siyo jambo nzuri waangalie namna ikiwezekana wenye changamoto kama hizo wafanyiwe marekebisho
 
Ungewekewa A zote ungekuja kulalamika?
 

Si unaenda Mahakamani tu
 
Tuwekee mfano halisi hapa kama ni kweli
 
Tuko mahakamani nako watumishi ni wamechagulia na huyo aliowachagulia watumishi wa huko vyuoni... Alafu waenda kumshtaki kuwa watumishi wako sio waadilifu

Lisu angekuwa anafikiri kama wewe angeshanyingwa, sasa unatuambia sisi tufanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…