Jiang Yang
Senior Member
- Jul 18, 2012
- 182
- 111
- Thread starter
-
- #161
Huna lolote, umeshatuonyesha upumbavu wako afu unareconcile tuone na hekima uliyoazima? MIAFRIKA BWANA!!!
Hii thread haina tija hata kwa anayeianzisha zaidi ya kupunguza kilo zake na kuchafua ubongo kwa kuingiza takataka. Khaa! laiti wangelijua kinacho matter ni mtu ana offer nini wala wasingesema. Maana kuna darasa la saba wako more valued kuliko hata hawa wapiga kelele humu...kwani wajenga maghorofa wengi wa kariakoo wamesoma kwa madegree?
mi nadhan nyie ndio ma GT...tunaowataka humu!!! mimi sio engineer ila natarajia kuwa engineer..wazo lako zuri..umenifundisha sana...Musa17 , hizi inshu za majigambo na dharua zisizo na vichwa ni sisi wenyewe tunalipa kichwa ,
tatizo letu ni dogo sana ukilinganisha na wenzetu wa fani nyingine (mfano biashara) ambao wanapenda sana kudharauliana kutokana na vyuo walivyosoma , tumeshajifunza kwamba haisaidii chochote hivyo hatuna haja ya kuendeleza ushindani usio na tija kwetu .
Ningependa kukueleza tu bwana Musa ,ukimuona mtu wa UDSM Eng anapiga porojo nyingi na kejeli, kuna uwezekano mkubwa huyo mtu hajiamini na anasubiria title ya UDSM imubebe ,kitu ambacho ni kujidanganya tu.
Mimi nimesoma UDSM , najivunia kusoma chuo kikongwe tz ila kamwe siwezi kukudharau wewe kwa sababu tu umesoma DIT wakati najua wapo wengi tu wenye uwezo wao huko DIT
Kweli wewe ni mmezaji mkuu wa UDSM hivi hujui kuna watu wamedahiliwa UDSM kwa vyeti vya Diploma na walipitia katika FTC tena wanaingia wakiwa nondo maana wanakuwa na UZOEFU wa kutosha
Hii thread ni mwongoni mwa zile thread za kipuuzi,ukitaka kumfahamu mtu alivyo hasa kweny uwezo wake wa ufahamu wa mambo angalia kwenye kuleta mada,mada inadhihilisha ujinga na upuuzi wa the so called Musa17
Acha watu wazidi kuelimishwa! Kweli huoni advantage ya post hii?
Mkuu bado unabishana na watoto?What is it achieving? Disuniting the engineers instead of uniting them! Hivi nani kakudanganya kidole kimoja kinaweza kuvunja chawa? Ujerumani wako juu sana ki technologia...kaangalie jinsi wanavyoheshimu hizi line za kufanya kazi na wanaweza kuendelea mbele pamoja na msuko suko mkubwa wa uchumi. Kama ukiingia mtaani na mentality hii whether utaajiriwa au utajiajiri, jua unajichimbia kaburi maana sio tu utafanya kazi na engineers wa UDSM, bali utakutana na lawyers, ma QS, architects, watu wa procurement et el ambao nao wanataka kupewa heshima kwa taaluma zao. Wewe ulichosoma cha mno ambacho wengine wote hawajasoma wala kupata kukijua ni nini? Do you know the intention of going to higher learning education apart from enabling people to go out with educated minds? This discussion is not from people with educated minds...it is from people who attended higher learning and got out with nothing upstairs!
What is it achieving? Disuniting the engineers instead of uniting them! Hivi nani kakudanganya kidole kimoja kinaweza kuvunja chawa? Ujerumani wako juu sana ki technologia...kaangalie jinsi wanavyoheshimu hizi line za kufanya kazi na wanaweza kuendelea mbele pamoja na msuko suko mkubwa wa uchumi. Kama ukiingia mtaani na mentality hii whether utaajiriwa au utajiajiri, jua unajichimbia kaburi maana sio tu utafanya kazi na engineers wa UDSM, bali utakutana na lawyers, ma QS, architects, watu wa procurement et el ambao nao wanataka kupewa heshima kwa taaluma zao. Wewe ulichosoma cha mno ambacho wengine wote hawajasoma wala kupata kukijua ni nini? Do you know the intention of going to higher learning education apart from enabling people to go out with educated minds? This discussion is not from people with educated minds...it is from people who attended higher learning and got out with nothing upstairs!
Mtu mwenye akili timamu hawezi ku comment post ya kijinga kama unavyodai! Wewe ndo unauwezo mdogo wa kufikiri, tena unasumbuliwa na ideology za miaka ile! Bila shaka umeguswa na mada. Watu 150+ wamecomment hapa. Wewe huna lolote zaidi ya kudhihirisha ulivyo maskini wa akili.
kwa upuuzi wako kama huu,hata ukisoma mpaka wapi huto kaa uelimike maisha mwako.
huko ndiko ulipotekea kuja kuleta upuuzi wako hapa?bado unasafar ndefu hadi ubongo wako uwe sawaHii thread haikuwa levo yako kabisa. Nenda jukwaa la Taarab kama lipo.
Mkuu bado unabishana na watoto?
Acha kutumia nguvu kubwa ku-Twist lengo la Topic. Nimeshaandika, i was targeting wale wote waliokuwa confused na swala la utofauti wa vyuo hivi na vingine. Kama ni swala la kutengeneza makundi kati Wahandisi, Iyo ni side effect, iliyosababishwa na wachangiaji wenyewe.
huko ndiko ulipotekea kuja kuleta upuuzi wako hapa?bado unasafar ndefu hadi ubongo wako uwe sawa
Sawa kabisa mkuu si unajua tena....... naitafakari signecha yako. Natamani nikusaidie kuongeza neno moja hapo.............Au Liongeze mwenyewe bana!Nimeacha kwa ushauri wa wakubwa zangu nyinyi. Ila hawa watoto tunawajibu wa kuwasaidia kujua mambo yanavyokwenda.