Wahitimu wa D.I.T wako fit pratically ukilinginisha na UDSM wanaosoma Engineering

Huna lolote, umeshatuonyesha upumbavu wako afu unareconcile tuone na hekima uliyoazima? MIAFRIKA BWANA!!!

mwana UDSM huyu, hata kauli zako tu zinakutambulisha. Zungumza hoja, kama huwezi kuna majukwaa mengine.
 
Hii thread haina tija hata kwa anayeianzisha zaidi ya kupunguza kilo zake na kuchafua ubongo kwa kuingiza takataka. Khaa! laiti wangelijua kinacho matter ni mtu ana offer nini wala wasingesema. Maana kuna darasa la saba wako more valued kuliko hata hawa wapiga kelele humu...kwani wajenga maghorofa wengi wa kariakoo wamesoma kwa madegree?
 
Acha watu wazidi kuelimishwa! Kweli huoni advantage ya post hii?
 
Musa17 , hizi inshu za majigambo na dharua zisizo na vichwa ni sisi wenyewe tunalipa kichwa ,
tatizo letu ni dogo sana ukilinganisha na wenzetu wa fani nyingine (mfano biashara) ambao wanapenda sana kudharauliana kutokana na vyuo walivyosoma , tumeshajifunza kwamba haisaidii chochote hivyo hatuna haja ya kuendeleza ushindani usio na tija kwetu .
Ningependa kukueleza tu bwana Musa ,ukimuona mtu wa UDSM Eng anapiga porojo nyingi na kejeli, kuna uwezekano mkubwa huyo mtu hajiamini na anasubiria title ya UDSM imubebe ,kitu ambacho ni kujidanganya tu.
Mimi nimesoma UDSM , najivunia kusoma chuo kikongwe tz ila kamwe siwezi kukudharau wewe kwa sababu tu umesoma DIT wakati najua wapo wengi tu wenye uwezo wao huko DIT
mi nadhan nyie ndio ma GT...tunaowataka humu!!! mimi sio engineer ila natarajia kuwa engineer..wazo lako zuri..umenifundisha sana...
 
Hii thread ni mwongoni mwa zile thread za kipuuzi,ukitaka kumfahamu mtu alivyo hasa kweny uwezo wake wa ufahamu wa mambo angalia kwenye kuleta mada,mada inadhihilisha ujinga na upuuzi wa the so called Musa17
 
Last edited by a moderator:
Kweli wewe ni mmezaji mkuu wa UDSM hivi hujui kuna watu wamedahiliwa UDSM kwa vyeti vya Diploma na walipitia katika FTC tena wanaingia wakiwa nondo maana wanakuwa na UZOEFU wa kutosha

nondo kwa elimu za kuungaunga
 
Hii thread ni mwongoni mwa zile thread za kipuuzi,ukitaka kumfahamu mtu alivyo hasa kweny uwezo wake wa ufahamu wa mambo angalia kwenye kuleta mada,mada inadhihilisha ujinga na upuuzi wa the so called Musa17

Mtu mwenye akili timamu hawezi ku comment post ya kijinga kama unavyodai! Wewe ndo unauwezo mdogo wa kufikiri, tena unasumbuliwa na ideology za miaka ile! Bila shaka umeguswa na mada. Watu 150+ wamecomment hapa. Wewe huna lolote zaidi ya kudhihirisha ulivyo maskini wa akili.
 
Last edited by a moderator:
Acha watu wazidi kuelimishwa! Kweli huoni advantage ya post hii?

What is it achieving? Disuniting the engineers instead of uniting them! Hivi nani kakudanganya kidole kimoja kinaweza kuvunja chawa? Ujerumani wako juu sana ki technologia...kaangalie jinsi wanavyoheshimu hizi line za kufanya kazi na wanaweza kuendelea mbele pamoja na msuko suko mkubwa wa uchumi. Kama ukiingia mtaani na mentality hii whether utaajiriwa au utajiajiri, jua unajichimbia kaburi maana sio tu utafanya kazi na engineers wa UDSM, bali utakutana na lawyers, ma QS, architects, watu wa procurement et el ambao nao wanataka kupewa heshima kwa taaluma zao. Wewe ulichosoma cha mno ambacho wengine wote hawajasoma wala kupata kukijua ni nini? Do you know the intention of going to higher learning education apart from enabling people to go out with educated minds? This discussion is not from people with educated minds...it is from people who attended higher learning and got out with nothing upstairs!
 
Mkuu bado unabishana na watoto?
 
Acha kutumia nguvu kubwa ku-Twist lengo la Topic. Nimeshaandika, i was targeting wale wote waliokuwa confused na swala la utofauti wa vyuo hivi na vingine. Kama ni swala la kutengeneza makundi kati Wahandisi, Iyo ni side effect, iliyosababishwa na wachangiaji wenyewe.
 
Mtu mwenye akili timamu hawezi ku comment post ya kijinga kama unavyodai! Wewe ndo unauwezo mdogo wa kufikiri, tena unasumbuliwa na ideology za miaka ile! Bila shaka umeguswa na mada. Watu 150+ wamecomment hapa. Wewe huna lolote zaidi ya kudhihirisha ulivyo maskini wa akili.

kwa upuuzi wako kama huu,hata ukisoma mpaka wapi huto kaa uelimike maisha mwako.
 
udsm ni chuo bora afrka mashark na kat.. Cha kushangaza hakuna uvumbuz wa haina yoyote ulifanywa na udsm....kulngansha na wenze2 makelele wao wametengeza gar, wameza kufanya taft mbalmbl mfno kugunduwa dawa za kupunguza makal ya ukmw.
 
udsm ni chuo bora afrka mashark na kat.. Cha kushangaza hakuna uvumbuz wa haina yoyote ulifanywa na udsm....kulngansha na wenze2 makelele wao wametengeza gar, wameza kufanya taft mbalmbl mfno kugunduwa dawa za kupunguza makal ya ukmw..
 
mwanamabadiliko Teh teh teh teh! nadhani wewe umesoma UDSM Engineering ndo maana uko sharo hivi! Nakuuliza hivi ndivo mnafundishwa kufikiri? Mtoa mada ameongelea product kutoka DIT ni bora kuliko zile za UDSM! Maabara hata zingekuwa milioni moja kama Teaching methodology/techniques ni mbovu kama za Udsm utatoka mtupu! nilifanya field na dent wa Udsm electrical 3year kule mgodini Bulyanhulu shinyanga mwaka 2008 nilibaki mdomo wazi,hajui kutumia analog wala Digital multimeter nikimwambia pima in foward/reverse diode mweupee!
Nikupe kidogo tu ushindi wa D.I.T,mfano nafundishwa ku-design circuit ya kupeform a certain task,kwanza nitapigwa theory na reference za kutosha na calculations si unajua wakali wa hesabu wako DIThaendi mtu yeyote kama alifeli hesabu labda wale wanaosoma short course za kidada eg IT for one year,baada ya kujua kwa undani components kama Transistors zina behave vipi tunaanza design kila mtu anapewa uwanja wake ili kazi zisifanane mfano aina gani ya transitor utumie kwenye circuit yako BeTa in 50-100 utajikuta kila mtu ana component zenye value tofauti lakini lengo ni moja.
Baada ya ku-design circuit unaiweka kwenye computer unai-test ili uone majibu yako,kuna software zina kila kitu oscilloscope,signal generator n.k Baada ya hapo unajenga kitu tangible proto type(circuit yenyewe) unaitest live.hapo ni kwa ufupi tu,pia kuna masomo kem kem management,intrepreneurship,computing ndo usiseme, all in DIT wana tumia CBET methodogy,mwanafunzi wa DIT akipeleka proposal ya project lazima asimame kwenye jopo la madocta aitetee hadi ikubaliwe pia mwishoni watalaam na maprof wa vyuo vikuu nchini watakuja ufanye presentation ya project hakuna longolongo,UDSM mnakusanya tu hizo project hakuna kuitetea hivo unaweza kumpa mtu akakufanyia ukamlipa,DIT mapaka uuze sura mbele ya jopo kutetea project yako.
 
Last edited by a moderator:
Acha kutumia nguvu kubwa ku-Twist lengo la Topic. Nimeshaandika, i was targeting wale wote waliokuwa confused na swala la utofauti wa vyuo hivi na vingine. Kama ni swala la kutengeneza makundi kati Wahandisi, Iyo ni side effect, iliyosababishwa na wachangiaji wenyewe.

Kumbe hii ni topic ya confused people...basi naachia hapa nilipofikia, teh teh teh
 
huko ndiko ulipotekea kuja kuleta upuuzi wako hapa?bado unasafar ndefu hadi ubongo wako uwe sawa

haya tuseme ninakuonea, unastahili kuwa hapa. Sasa nimeangalia comments zako kwenye thread hii, toba,. Ni balaa na aibu.. Acha wenye uwezo wao tuchambue hoja mezani iyo.
 
Nimeacha kwa ushauri wa wakubwa zangu nyinyi. Ila hawa watoto tunawajibu wa kuwasaidia kujua mambo yanavyokwenda.
Sawa kabisa mkuu si unajua tena....... naitafakari signecha yako. Natamani nikusaidie kuongeza neno moja hapo.............Au Liongeze mwenyewe bana!

Patience,practice,and ceaseless importunity can a man enter the door of the temple of knowledge
.
 
Back
Top Bottom