Wahitimu wa Kidato cha Sita Tumeni Maombi Bodi ya Mikopo (HESLB)

Wahitimu wa Kidato cha Sita Tumeni Maombi Bodi ya Mikopo (HESLB)

tatanyengo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
1,133
Reaction score
280
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu imewaomba wanafunzi waliohitimu kidato cha sita watume maombi yao ya kuomba mikopo hata kabla ya matokeo ya mitihani yao. Bodi imesisitiza kuwa mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 30/6/2013. Wanafunzi hao wanatakiwa kutumia namba za mtihani wa kidato cha Nne.
 
Hivi hiyo Bodi iko serious kweli?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hivi hiyo Bodi iko serious kweli?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums


Vijana wetu wanaibiwa kweupe, utarazimishwaje kuombakabla ya matokeo. Cha kushangaza wabunge wetu wako kimya katika hili.
 
Serious huu ni wizi wadhahiri...huku ni kuibiwa huku unajiona sijui serikali yetu ikoje
 
Kwani hizi organi hazifanyi kazi kwa kushirikiana? kama tatizo ni la serikali kwanini na wao wasisogeze muda kwa vijana hao wa kidato cha sita?
 
hawa jamaa ni wa ajabu sana, wametoa namba zao za kuwahudumia watu online pale unapopata tatizo ila sasa ukipiga ni either ikatwe au iachwe iiiiiiite mpaka basi na hata upige mara nyingi ni hvy hvy tu!!! Kazi ya helpdesk ni nn hapo?
 
Unajua inatia kinyaa kuona state owned institutions zina contradict each other. Hivi how can you apply for further training without results. Kama hao loan board wanataka watu waombe mikopo si wahimize baraza la mitihani litoe majibu?. Shame on you ...... mnatupeleka wapi this 21st Century. Hiyo mitihani matokeo mnayacompute na mikono?
 
Mi nawashauri msiwe na haraka kuapply mikopo, subirini kwanza matokeo, maana iz kind of thetf. Af taarifa yenyewe sio lasmi mana source yake ni gazeti la nipashe na sio website ya heslb, kuwen na subila mana inasemekana matokeo yote yatatoka kabla ya tarehe 4 ambapo wizara ya elimu itapowasilisha bajeti yake,
 
I smell usanii and wizi

Mkuu hawa jamaa ni hatari sana. kuna case ya wale walioomba mwaka jana na wakakosa mkopo. Sasa mwaka huu wanapoomba wanaambiwa ULISHAPEWA MKOPO NA HUWEZI OMBA UPYA TENA - ajabu alishapewa mkopo nani kautumia. kibaya ni kuwa mtu asipokazana atajikuta akimaliza masomo anadaiwa na "mkopo" wa mwaka wa kwanza ambao hakupata.

Kuna kila harufu ya ufisadi kama system ya bodi haiko makini. Na huenda inafanywa hivi kukidhi matakwa ya ufisadi.

nchi hii KWISHEKI at the expense ya walala wima jamani
 
Mi nawashauri msiwe na haraka kuapply mikopo, subirini kwanza matokeo, maana iz kind of thetf. Af taarifa yenyewe sio lasmi mana source yake ni gazeti la nipashe na sio website ya heslb, kuwen na subila mana inasemekana matokeo yote yatatoka kabla ya tarehe 4 ambapo wizara ya elimu itapowasilisha bajeti yake,

Mkuu sio Nipashe tu. Mimi nimemsikia Katibu wa Bodi Radio One Stereo leo 28/05/2013 asubuhi akisisitiza wanaosubiri matokeo waanze kuomba mkopo hata kabla ya kupata matokeo na akaonyesha mkali katika mahojiano na watangazaji wa Radio One. Watu wengi wamepinga na ku comment kama ilivyo kwenye uzi huu but he was gone.

kuja Waziri Kawambwa asubuhi hihii ya leo ikawa tofauti - yeye alitoa ufafanuzi wenye huruma ndani yake kwani amewasihi watu wawe patient na muda wa kutuma maombi una uwezekano wa kuongezwa - kinyume na mbabe Katibu wa Bodi alivyosema awali.

Coordination hakuna na hivi vijitengo vinajiona viko juu ya waziri.
 
Ni kweli unachosema but sisi tuliotangulia 2mekumbana na mambo kama hayo, coz mkopo unatolewa kutokana name ufaulu wako na ndomana unaambatanisha matokeo ya kidato cha sita, Leo wametangaza ivo kesho watabadilisha af wenyewe wata assume we ndo umekosea, chamsingi kuweni wavumilivu mana yakichelewa watatoa extension of time, na tarifa rasmi zinatolewa kwa kutagaza kwenye vyombo vya habari na kwenye website yao,
 
Back
Top Bottom