tatanyengo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 1,133
- 280
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu imewaomba wanafunzi waliohitimu kidato cha sita watume maombi yao ya kuomba mikopo hata kabla ya matokeo ya mitihani yao. Bodi imesisitiza kuwa mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 30/6/2013. Wanafunzi hao wanatakiwa kutumia namba za mtihani wa kidato cha Nne.